Je kwa dunia ya sasa utapenda binti yako awe kama ulivyo suggest? Ninaye binti, nitamfundisha kuheshimu wanaume katika jamii. Mengine yote nitaiachia nature iamue hatma yake.Kiuhalisia mwanamke aliumbwa kumtumikia mwanaume katika leisure occasions tu, na sio kuwa sehemu ya kumiliki chumi za dunia.
Wewe ni mpumbavuKiuhalisia mwanamke aliumbwa kumtumikia mwanaume katika leisure occasions tu, na sio kuwa sehemu ya kumiliki chumi za dunia.
Mfundishe kujitegemea kabla hajaingia kwenye mambo ya kifamilia hii itamsaidia kutokuwa mtumwaJe kwa dunia ya sasa utapenda binti yako awe kama ulivyo suggest? Ninaye binti, nitamfundisha kuheshimu wanaume katika jamii. Mengine yote nitaiachia nature iamue hatma yake.
Awanataka upendeleo badala ya usawa.Duniani kuna "social programming" inaendelea, kupitia mitandao ya kijamii na Kampuni kubwa za Uwekezaji kama Hollywood. Social programming hiyo inalenga kubadilisha dhana nzima ya mahusiano na ndoa. Kwa upande wa Wanawake , kuna story nyingi sana wanapewa kuhusu mahusiano, zoezi zima likiratibiwa na wanaharakati wa masuala ya Kijinsia ikiwamo Wafeminia (Feminists)
Tazama, hivi unajua kwenye nchi zilizoendelea Wanawake ndio wanaongoza kwa matumizi ya anti depressants? Kwa msiozifahamu hizi ni dawa zinazopunguza msongo wa wazo na kuwapa utulivu wa mwili. Na hivi unajua kwanini nchi nyingi za Magharibi wanalalamika kuhusu aina ya Wanawake ambao feminism imetengeneza? Wanawake ambao hawataki kuwajibikia Wakikosea, hawataki kuonekana wana makosa, ila kosa ni la Mwanamume bila kujali amehusika au hakuhusika, ila wamekuwa vilema wa wajibu.
Haya yote yana sababu, na sababu yake ni hii; Wanawake wana matatizo mengi sana ya changamoto ya afya ya akili, ila hawaambiwi na wala hawajui, kwanini? Simply kwa sababu mbili.
Siku hizi Wanawake wengi wanalilia privileges za Walemavu, wamelemaa; wanatafuta upendeleo zaidi ya Usawa kama wanavyolilia. Huwezi kuwashauri, kwa sababu mtu yeyote anayeshaurika ni yule ambaye anakubali kuwajibikia makosa au changamoto alizonazo; na yupo tayari kupokea maoni na mapendekezo kutoka kwa watu wengine, ila hawapo tayari kubeba mzigo wa makosa kwanza kwa sababu wao muda wote wanaamini wanaonewa, na shida zao nyingi za akili zinaitwa DRAMA.
- Wanaaminishwa wao ni victims; yaani wahanga, so wamejenga kilema cha akili cha kuhisi ni wao pekee wanaoonewa na makosa yote hata yale wanayopitia wao ni kwa sababu ya Wanaume. Hii ina maanisha kuwa wanazidi kurudisha mamlaka kwa Wanaume, kwamba sehemu kubwa ya maisha yao ni kwa sababu ya Wanaume, na si wao wanaokosea kwenye kuamua.
- Jamii ime "sugarcoat" matatizo yao; siku hizi yanaitwa DRAMA, ndio maana Mwanamke hajui kama ana matizo, simply ni kwa sababu hahisi kama ana matatizo, ni jambo la aibu sana kumkuta Mwanamke anafanya jambo la kujidharirisha, ila jamii inaishia kusema 'Ndio Wanawake walivyo" au 'Wanawake wana drama" ndio maana wakiambiwa ukweli wanakuwa wakali, kwa sababu hawaamini kwenye makosa wala kuwa na mapungufu, kwa kuwa yamepewa jina zuri. INASIKITISHA.
Mwisho wa siku, Wanawake ni mali ya Mabepari; ndio maana wanapendwa. Good consumers ni lazima wawe na kelele kwa sababu wanaowatumia wananufaika nao. Win-lose situation.
Itafika mahali hakuna kuangaika nao waendelee na ujinga wao waendelee kuteseka๐คฃ
Endelea kujipumbaza. Ila nitakutoa upumbavu wako kwa kujaribu kukueleza kwa kirefu kwa sababu ulikosa hata "F" ya std VII.Wewe ni mpumbavu
NonsenseAbout antidepressants, unaona issue ya gender me naona ni existential issue, suffered by the first World countries, but now due to globalisation, a global issue.
Huwezi kuwa materialistic / materialist / deterministic uache kurukwa na akili.
We have denied our true nature, our transcendent nature. We have denied our source, our God. Refusing to accept the truth that will set us free.
Now we're stuck in the false limited space we've foolishly confined ourselves in, trying all the possibilities possible to find meaning, just to collapse to meaninglessness, having to rely on pills to get through the day.
Sitapenda, but haiondoi ukweli kwamba asili ya mwanamke ni kumuintertain mwanaume na kumlelea watoto baasi, haya mengine ni mipango ya shetwani tuu.Je kwa dunia ya sasa utapenda binti yako awe kama ulivyo suggest? Ninaye binti, nitamfundisha kuheshimu wanaume katika jamii. Mengine yote nitaiachia nature iamue hatma yake.
Sema ulipoguswa niongeze dozi ๐๐๐Nonsense
Nimeona umeandika tu upuuzi tulia kwanza theni upangilie hicho unachotaka kueleza mkuuSema ulipoguswa niongeze dozi ๐๐๐
Bila shaka utakuwa kobazi wewe๐ Je hao watoto anao walea watakula mawe? Maana dunia ya sasa wanaume wengi tunatekekeza watoto๐คฃ na ndoa sio jambo la msingi tena/halipewi kipaumbele, je wanawake wasioolewa watakula nini au wataleaje watoto wao au wajane watapata wapi mahitaji ya msingi. Ukishindwa kujibu haya basi ujue kuna tatizo katika hoja zako.Sitapenda, but haiondoi ukweli kwamba asili ya mwanamke ni kumuintertain mwanaume na kumlelea watoto baasi, haya mengine ni mipango ya shetwani tuu.