Diwani
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,824
- 3,021
Duniani kuna "social programming" inaendelea, kupitia mitandao ya kijamii na Kampuni kubwa za Uwekezaji kama Hollywood. Social programming hiyo inalenga kubadilisha dhana nzima ya mahusiano na ndoa. Kwa upande wa Wanawake , kuna story nyingi sana wanapewa kuhusu mahusiano, zoezi zima likiratibiwa na wanaharakati wa masuala ya Kijinsia ikiwamo Wafeminia (Feminists)
Tazama, hivi unajua kwenye nchi zilizoendelea Wanawake ndio wanaongoza kwa matumizi ya anti depressants? Kwa msiozifahamu hizi ni dawa zinazopunguza msongo wa wazo na kuwapa utulivu wa mwili. Na hivi unajua kwanini nchi nyingi za Magharibi wanalalamika kuhusu aina ya Wanawake ambao feminism imetengeneza? Wanawake ambao hawataki kuwajibikia Wakikosea, hawataki kuonekana wana makosa, ila kosa ni la Mwanamume bila kujali amehusika au hakuhusika, ila wamekuwa vilema wa wajibu.
Haya yote yana sababu, na sababu yake ni hii; Wanawake wana matatizo mengi sana ya changamoto ya afya ya akili, ila hawaambiwi na wala hawajui, kwanini? Simply kwa sababu mbili.
Mwisho wa siku, Wanawake ni mali ya Mabepari; ndio maana wanapendwa. Good consumers ni lazima wawe na kelele kwa sababu wanaowatumia wananufaika nao. Win-lose situation.

- Wanaaminishwa wao ni victims; yaani wahanga, so wamejenga kilema cha akili cha kuhisi ni wao pekee wanaoonewa na makosa yote hata yale wanayopitia wao ni kwa sababu ya Wanaume. Hii ina maanisha kuwa wanazidi kurudisha mamlaka kwa Wanaume, kwamba sehemu kubwa ya maisha yao ni kwa sababu ya Wanaume, na si wao wanaokosea kwenye kuamua.
- Jamii ime "sugarcoat" matatizo yao; siku hizi yanaitwa DRAMA, ndio maana Mwanamke hajui kama ana matizo, simply ni kwa sababu hahisi kama ana matatizo, ni jambo la aibu sana kumkuta Mwanamke anafanya jambo la kujidharirisha, ila jamii inaishia kusema 'Ndio Wanawake walivyo" au 'Wanawake wana drama" ndio maana wakiambiwa ukweli wanakuwa wakali, kwa sababu hawaamini kwenye makosa wala kuwa na mapungufu, kwa kuwa yamepewa jina zuri. INASIKITISHA.
Mwisho wa siku, Wanawake ni mali ya Mabepari; ndio maana wanapendwa. Good consumers ni lazima wawe na kelele kwa sababu wanaowatumia wananufaika nao. Win-lose situation.