Jinsi hacking ilivyonipa 250,000 tshs leo!!!!!!!!!


.
Sasa software developer imeingiaje hapo
.
Hebu jaribu kutulia.....
.
Acha ku panic panic tu bila sababu ya msingi
.
Nimekuona pale juu pumba ulizo ziandika ila sikujibu kitu.....
Mana naona hauko sawa kabisa
.
Yaani mpaka leo unadhani bongo hakuna hackers???
.
Ila kijana ww ni waajabu sana sio sili....
.
 

...well, ww unaweza ona nimeandika pumba kulingana na uelewa wako mdogo.
Kama unafahamu, huwezi kuwa hacker kama huwezi tengeneza hacking tools, na hautaweza kutengeneza hizo hacking tools kama hujui hata kutengeneza software, so kuna vi application siku hizi vinatengenezwa tena kwa kutumia programs nyingine, bila hata ya mtengenezaji kujua computer language, then mtu anajiita hacker kwa ku detect password za mtu.
....i can guarantee even u, don't understand anything.
 

Oh boy... Kuwa hacker sio lazima utengeneze your own tools, ambao wanatumia tools za wenzao wanaclass yao katika hacking society, Script Kiddies... Lakini sio kwamba hawa hawana damage... wanayo damage...
 
Bora nimepata cha kuchangia hapa..Aiseee ni siri na sio sili....

.
You should change you r way dude......
.:
it's tgs and not jukwaa la lugha...
.
Normal people can become annoying if you put n annoying situation kinda holaa
.
.
 

.
Hahaaaaa haaaaaaaa
.
A real hacker is the one who don't get caught kinda holaaa
.
Do u want to know us if we having the hacking skills......
.
4ever you can't
.
Review this thread there after you should know how much you know about the meaning of the word hacker
.
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...and-pro-if-your-interested-3.html#post8147168
 
Bongo hacker wapo tena wazuri. Isipo kua wewe uwafahamu

 
Ile iwe hacker lazima uwe software engneer... Na hacker must u his own tools sio za wat hao wengne just wanatest dhar..... Jaman true hacker hajisif muangalien Edward snowden

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
 

Baadhi ya maswali yangu pia umeyajibu mkuu, nimeongeza uelewa wa mambo. Shukrani
 
Na hapo ndio ugumu wa kazi ya Cyber security, Information Security au IT security unapokuja.
 
Kuna mganga mmoja wa kienyeji alikuwa akitinga sehemu "anamwaga magonjwa" kwa njia za kishirikina halafu anaweka bango kuwa yeye ni mtaalam wa kutibu magonjwa mbalimbali akitaja na yale aliyomwaga mtaani. Watu wakienda kwake na magonjwa hayo ya ajabu wanapewa tiba nakupona. Kifuatacho? Kwa nini asikusanye pesa , mifugo na vitu vingine kama "asante?"Wakimshtukia anatimkia mahali pengine. Nadhani stori hii ni symmetrical na ya mtoa mada.
 
Aya sasa ngoja niulize swali linalotouch wengi..
Vipi security system ya Jamii forums..??
It's my account safe hapa...??
 
Aya sasa ngoja niulize swali linalotouch wengi..
Vipi security system ya Jamii forums..??
It's my account safe hapa...??

.
Ask yo self for how many years, you have been using jf?
.
And is there any personal secret of your account have been leak???...
.
There after you should confirm if you're safe or unsafe
.
 
.
Ask yo self for how many years, you have been using jf?
.
And is there any personal secret of your account have been leak???...
.
There after you should confirm if you're safe or unsafe
.

No inawezekana nisiwe mimi labda kwa sababu ni small fish ila kuna watu wakubwa na wenye influence sana humu JF. Wasiwasi wangu ni are they safe..??
Afu kitu kingine correct me if wrong si mtu anaweza hack mambo yako pasipo yalikisha info zako...what I mean hear kwa mfano humu JF is it possible mtu akajua your true user name ka unatumia fake one...??
Pili akajua labda device unayoitumia na uko eneo gani..??
Ka anauwezo wa kugundua vyote hivyo I feel like we are not safe here na si lazima kusikia ka your informations have leaked ndio kujua your not safe..
Ebu clear my doubts katika hili wadau
 

.
Hiv kwa mfano mm nika chukua details zako kwko ww personal yan....... Bila ww kujua na nika stole login details zako kwa kutumia backtrack harafu nikazitumia tu kawaida....
Hii itakuwa sija ihusisha jf system kiujumla kwa hiyo cha msingi ni ww tu kuwa makini na mizunguko yako humu ndani kama unatumia pc etc
.
Sijajua kama kuna people wanao spread loggers humu ndani....
.
Sijajua kabisa kama wapo.. Ila kama wapo hata iwe FUD vp ita be detected tu..... Natumai Invisible yupo makini
.
Cha msingi ni kuishi tu kwa furaha tu humu ndani... Tutafika mbali JF
.
.
 
Last edited by a moderator:
Will Be Back in a Moment
stay Tuned

ulikuwa una lengo la ku i hack???
Hebu jaribu hii
.
URL: HACK IF YOU CAN
.
Skills needed:
Basic knowledge of
cookies, SQL injection, Hash
cracking
.
Goal:
Find working log-in
credentials to any of the non-
admin accounts.
Proof:
Send me a pm of the
account name and the password
you have used to log-in.
.
Ukiweza
.
Nta ku reward i promise you
.
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…