Jinsi hacking ilivyonipa 250,000 tshs leo!!!!!!!!!

sasa ww unataka umpe account yako ipi gmail,fb ama ?? Hizo ni mitandao mikubwa obviously loopholes zake lazima uwe advanced hacker levo nyingine kabisa

.
Heee wewe upo dunia gani wew
.
Ana hack account siyo fb website
.
Tena ni easy ever seened
.
.
 
Hivi hiyo kuhack unafanyeje? Maana mie naitaka sana kujua jins ya kuhack hasa accaunt za mitandao za my wife.

Mkuu I can help you lakini inabidi upimwe akili kwanza ili usije ukaua mtu....... Unaweza ukafa kwa presha au ukaua mtu kwa hasira
 
Mkuu I can help you lakini inabidi upimwe akili kwanza ili usije ukaua mtu....... Unaweza ukafa kwa presha au ukaua mtu kwa hasira

Kwani wanaoua ni wasio na akili tu?
Na kufa kumeumbwa hata nisipokufa kwa presha hata kwa kulala tu naweza kufa.
 
.
Heee wewe upo dunia gani wew
.
Ana hack account siyo fb website
.
Tena ni easy ever seened
.
.
ever seened??? umejifanyisha au ndo uwezo wako ulipofikia?? yy amemuuliza nikupe account yangu uihack embu nitajie account zinazopatikana kwenye website??
 
shiny c wewe sio hacker. huna sifa za kuwa hacker. wewe ni script kiddie

In hacker culture a script kiddie or skiddie,[SUP][1][/SUP] (also known as skid, script bunny,[SUP][2][/SUP] script kitty),[SUP][3][/SUP] are unskilled individuals who use scripts or programs developed by others to attack computer systems and networks and deface websites. It is generally assumed that script kiddies are juveniles who lack the ability to write sophisticated hacking programs or exploits on their own, and that their objective is to try to impress their friends or gain credit in computer-enthusiast communities.[SUP][4][/SUP] The term is typically intended as an insult.

source: wikipedia
 
ever seened??? umejifanyisha au ndo uwezo wako ulipofikia?? yy amemuuliza nikupe account yangu uihack embu nitajie account zinazopatikana kwenye website??

.
Ulichokiandika pale juu umekiona au????
.
Unaposema fb na gmail ni mitandao mikubwa ku hack inabidi uwe advanced hacker una maana gani?????
.
.
 
.
Ulichokiandika pale juu umekiona au????
.
Unaposema fb na gmail ni mitandao mikubwa ku hack inabidi uwe advanced hacker una maana gani?????
.
.

fb, twitter, hata social network zingine uwa ziko layered yani kunakuwa na access levels. unaweza kuhack account za watumiaji wa kawaida. ila si rahisi kufikia level ya moderators au system administrators. kwa iyo mtu ataishia kuhack account ndogo ila kufikia database ni issue
 
umeogopa?

.
Amna kaka nikiwa na maana.....
.
Siyo kama hzo nyingnee
.
Akina fb na tweeter
.
Mana watu over the world wame riport bugs ili wapate vi dola 500
.
Sasa kwenye ile red sijajua......
.
Ila am able kaka to do that si unajua tena
..
 
Msaada wako wa ushauri nadhai unahitajika pia hapa kwenye hii email yenye red

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail:

ikulumawasiliano@yahoo.com

[email]press@ikulu.go.tz
[/EMAIL]
Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
 
ever seened??? umejifanyisha au ndo uwezo wako ulipofikia?? yy amemuuliza nikupe account yangu uihack embu nitajie account zinazopatikana kwenye website??

...huyu jamaa punga kweli, kiingereza chenyewe makande "ever seened" alafu anataka kujidai kuwa anafaham hata maana ya ku hack, na amekariri fb ndo site pekee, hizi simu zinazokuja pre-installed with fb app zinawapumbaza wengi
 
.
Heee wewe upo dunia gani wew
.
Ana hack account siyo fb website
.
Tena ni easy ever seened
.
.

...mkuu, hivi fb website ninini kwani, na account ninini vile, mi najua akaunti ni kama zile za CRDB n.k. au kuna account nyingine kulingana na ufafanuzi wako hapo juu
 
shiny c anamjua? nafikiri haya mambo hayapimwi kwa namna hii...

...kajieleza namna alivyo hack, hizo namna kazi copy katika forums zinazo discus infotech, hana utaalamu huo, na ninajua bongo hackers hakuna, namaanisha wabongo wenyewe mtu akiwa software developer anahis amekuwa hacker, hacking is not something u heard
 
Mkuu hapo kwenye RED, sikubaliani na ww hata kidogo... Just because matukio huyasikii sio kwamba hakuna, wapo! some i knw , some i dont... Sasa endelea tu kukaa kwenye giza, lighten up... We are Anonymous. We are Legion. We do not forgive. We do not forget. Expect us.
 
...huyu jamaa punga kweli, kiingereza chenyewe makande "ever seened" alafu anataka kujidai kuwa anafaham hata maana ya ku hack, na amekariri fb ndo site pekee, hizi simu zinazokuja pre-installed with fb app zinawapumbaza wengi
ngoja niachane nae coz haelewi anchokifanya wala anachokihoji,kila site diuniani inaweza ikawa hacked,as long as una mautundu ya kutosha.thats it,ila kwa website kubwa kubwa inakupasa uwe mwerevu kupindukia coz na wenyewe wanaajiri systeme susecurity wenye uelewa mpana na experience ya kutosha
 
...mkuu, hivi fb website ninini kwani, na account ninini vile, mi najua akaunti ni kama zile za CRDB n.k. au kuna account nyingine kulingana na ufafanuzi wako hapo juu

.
Kwa maelezo ya nyandigira
.
.fb, twitter, hata social network
zingine uwa ziko layered yani
kunakuwa na access levels.
unaweza kuhack account za
watumiaji wa kawaida. ila si rahisi
kufikia level ya moderators au
system administrators. kwa iyo
mtu ataishia kuhack account ndogo
ila kufikia database ni issue
.
Umeelewa alicho kimaanisha
.
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…