Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,378
...naomba nikupe account yangu yoyote then ui hack, na tukubaliane, ukishindwa u must me, na ukishinda i will pay u, muda nao utahusika
Na siku zote script kiddie ndo hutoka kifua mbele na kujisifia, hacker hana mda huoshiny c wewe sio hacker. huna sifa za kuwa hacker. wewe ni script kiddie
Hivi hiyo kuhack unafanyeje? Maana mie naitaka sana kujua jins ya kuhack hasa accaunt za mitandao za my wife.
Na siku zote script kiddie ndo hutoka kifua mbele na kujisifia, hacker hana mda huo
Script kiddie ni watu ambao kiuwezo hawajawa ma-programmer wa kuweza kutengeneza software zao wenyewe kwa ajili ya hacking, ila wao hutegemea sana software kutoka kwa proffesional programmer wanaotengeneza software kwa ajili ya hacking, mfano wanaweza wakatengeneza software fulani kwa ajili ya kupiga simu pasipo malipo, wewe ambaye hujahusika kutengeneza unaweza ukaitumia kukwepa kulipia gharama za simu, kumbuka hapa wewe utakuwa hacker lakini utaitwa script kiddie hacker kwa sababu huelewi hiyo software imetengenezwaje (program codes) zaidi ya kuitumiaTofauti kati ya hacker na huyo script kiddie ni nini mdau...??
Afu nilishawai sikia kitu inaitwa black hacker na white hacker...vipi kuhusu hawa watu..??
Ni majuzi juzi tu nlianzisha thread kwamba inabidi tanzania tujiupgade kwenye techs kwa njia ya kuhack, well nkapost topic inayohusu site ndogo tu nliyohack hata sekunde kumi hazijapita thread ikafutwa , nkakaa mezani nkafikiria hivi nikipata loopholes kwenye site za tz na nkienda kuziripoti itakua dili , mzee mzima nkaingia mzigoni na brand new kali linux nkaanza kusearch loopholes na kujaribu kuziexploit nikazinotedown fasta fast nkang'oka mbio kwenda ofisi husika ya shirika nliloweza kupata matundu, mwanzoni nmefika pale secretary ndo kwanza hata hajui maana ya kuhack bahat nzuri mkubwa flan akasikia then akanifata nlienda na laptop yangu na nkamwonyesha jinsi itavyokuwa wasipoziba sio siri alikua surprised akapiga simu kwa kijana wake wa i.t akaja mbio kuhakiki maana alikua ni mbishi mno kafika pale nae anatoa macho tu ndo kwanza hata kali haijui well tukafix mambo palepale nkapelekwa ofisi zao za uhasibu chap chap nkapewa kitita cha laki 2 nae jamaa wa i.t akaniita palepale akanipa 50 jumla ikawa 250 k na kiukweli nilifurahi sana maana nimefumbuliwa macho kuwa kipaji changu cha kuhack kinaweza kuwa bonge la dili
We badala ya kuwaza kumpenda zaidi na kumliwaza unawaza kumvuruga??
Kila la heri!