Bingwa, sasa mimi nina mdogo wangu ameshaomba kufuata utaratibu lakini wapi mpaka tumemchoka...TRA kuna fani mbalimbali kwa hiyo mtu anaweza kuajiriwa kama HR, supplies officer, lawyer n.k. Kwa maafisa usimamizi wa kodi ni awe amesoma bachelor of taxation, account, economics au finance. Kwa sasa ili mradi mtu awe na cheti anasifa ya kuomba ajira haijalishi GPA yake.
Hivi hizi mentality mnazitoa wapi mbona washkaji kibao wamepata alafu ni watoto wa maskini tu.Hawata kwambia ukweli,Ila ukweli pambana Sana vyeti tu havitakusaidia
Kwa hiyo hata waliosomea Education wanapataTRA kuna fani mbalimbali kwa hiyo mtu anaweza kuajiriwa kama HR, supplies officer, lawyer n.k. Kwa maafisa usimamizi wa kodi ni awe amesoma bachelor of taxation, account, economics au finance. Kwa sasa ili mradi mtu awe na cheti anasifa ya kuomba ajira haijalishi GPA yake.
Ili wakafundishe wananchi elimu ya kodi sio?Kwa hiyo hata waliosomea Education wanapata
Na customer care inakuaje mnaajiri watu wa kada ipi?TRA kuna fani mbalimbali kwa hiyo mtu anaweza kuajiriwa kama HR, supplies officer, lawyer n.k. Kwa maafisa usimamizi wa kodi ni awe amesoma bachelor of taxation, account, economics au finance. Kwa sasa ili mradi mtu awe na cheti anasifa ya kuomba ajira haijalishi GPA yake.
Taratibu za kuhamia zikojeTRA kuna fani mbalimbali kwa hiyo mtu anaweza kuajiriwa kama HR, supplies officer, lawyer n.k. Kwa maafisa usimamizi wa kodi ni awe amesoma bachelor of taxation, account, economics au finance. Kwa sasa ili mradi mtu awe na cheti anasifa ya kuomba ajira haijalishi GPA yake.
Unaomba kwa kutumia mfumo wa serikali wa Watumishi Portal.Taratibu za kuhamia zikoje
Inategemea education gani. Kama ni English & Kiswahili. Big noKwa hiyo hata waliosomea Education wanapata