jinsi gani ntaongeza internal space kwenye Tecno P3 android

jinsi gani ntaongeza internal space kwenye Tecno P3 android

Nikhil

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
361
Reaction score
120
Nisaidieni wakuu kwani huwa niki install program kubwa space inajaa .
 
install program chache pia zingine unaweza kuzi-install kwenye SD Card, pia kuna program zingine unaweza ukazitumia mara 1 kwa wiki 2 au hata mwezi hivyo huhitaji kuendelea kuzihifadhi, ukishazitumia unazifungua(uninstall) ili kurecover spaces
 
ndio matatizo ya simu zenye internal memory ndogo.inabidi ufuate ushauri wa wadau hapo juu
 
Nisaidieni wakuu kwani huwa niki install program kubwa space inajaa .

Hiyo simu ni hasara kabisa
Mm yangu ilinizingua nikawapa wanangu wachezee

Chakufanya Root simu yako ondoa pre installed apps ambazo hauzitumii kutakuongezea walau space

Next time nunua simu zenye internal kubwa
 
Mkuu naomba msaada wa apgred sim yangu ya galaxy note 2 kutoka 4.1.2 kwenda 4.1.3
 
Back
Top Bottom