Jinsi gani nitaingia DSTV bure

panyabuku

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
81
Reaction score
4
Wadau nilikuwa naomba msaada wa namba ambazo nasikia ukiweka kwenye king'amuzi chochote haswa cha startimes unaweza kuona channel za DSTV free.
 
No free lunch😀😀
 
Muda mwingine watu hujitengenezea wenyewe mazingira ya kutapeliwa kwa kupenda vya bure au rahisi.
 
HICHO KITU HAKIWEZEKANI KABISA

Usiseme haiwezekani sema huamini Kama inawezekana, Mie niliwahi kuunganishiwa sema inabidi uweke bundle Kama ya buku kwa Mwezi ya internet kwa Mwezi sasa ikitokea Internet inakata au inayumba basi na kwny TV kunatokea chenga! Cable zake zinauzwa kwny Duka pale Opposite na kutuo cha speed bus Kariakoo.
 
Wadau nilikuwa naomba msaada wa namba ambazo nasikia ukiweka kwenye king'amuzi chochote haswa cha startimes unaweza kuona channel za DSTV free.
Huwezi nasa channel za dstv kwa kingamuz cha startimes totally impossible unless unataka kutapeliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…