Jinsi gani nita hack account ya facebook au gmail

Learn programming and network atlst u could have an idea on hacking but to be a hacker
 
hahahahahaha.............watu wenye stess zao utawajua tu!!!!!!!
 
Mkuu counter terrorist unit (CTU) phishing unailewa vizuri ??? Kuna vitu ambavyo ni vigumu kuhack ila sio Facebook
 
"Stress" not "Stess" if you won't mind, jus take a sleep.
mtu mwenyewe kumbe graphics designer..........hata hesabu za binary to decimal ,decimal to hex,octal to binary hujui halafu unajiita hacker????? je nkikupeleka kwenye matlab au calculus au microprocessor technology au reverse engineering si utajamba ushuzi wa bamia..........teh teh teh just kidding
 
Me natoa offer just u can hack my fb account kma munajua acheni kujisifu nataka vitendo mm
 
Nitumie kiswahili labda utanielewa instead of going out of situation.

-Kwanza kabisa usipoteze muda wako kuisoma biography yangu nakuifananisha na snipa halisi mwenyewe....

-Unaposema
mtu mwenyewe kumbe graphics designer..........hata hesabu za binary to decimal ,decimal to hex,octal to binary hujui
inamaanisha hujabalehe bado, mana kama unadhani graphics designers hawajui lolote kuhusu hesabu basi sawa utaelewa utakapokua.

-Mimi sio hacker na sijui lolote kuhusu maswala hayo, ila wewe unaejua endelea kusubilia super computer ili uhack account za facebook.
 
Kosa hilo la ""KUINGILIA "" according to Tundu
 
dogo ulivyojifunza kucheza game,kutumia linux os na vitricks vya photoshop ukadhani we n engineer sio?????dogo unaijua matlab???? yaani we ungesoma computer engineering au telecomunicaton ungedisco semister ya kwanza
 
Braza hao wanaosoma mbona hua wanakuja kwangu mimi mcheza magemu ?

Afu hiyo MatLab ndo kitu gani braza naomba nieleweshe ?
 
Braza hao wanaosoma mbona hua wanakuja kwangu mimi mcheza magemu ?

Afu hiyo MatLab ndo kitu gani braza naomba nieleweshe ?
wanakufata uwafundishe kucheza magemu au kuinstall linux kwenye mashine zao.............
 
wanakufata uwafundishe kucheza magemu au kuinstall linux kwenye mashine zao.............

Sawa braza ngoja si tucheze magemu, we subiria miujiza ya super computer ili uwe unahack fb a/c.
End.
 
Sawa braza ngoja si tucheze magemu, we subiria miujiza ya super computer ili uwe unahack fb a/c.
End.
dogo mi sisubirii miujiza.........natengeneza mini supercomputer ya kwangu ntakufata unitengenezee graphics animation mcheza magemu....anything which accept user input can be bruteforced
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…