Right click my computer or computer icon
Chagua manage
Kuna dirisha la Computer management litatokea
Upande wa kushoto chagua device manager
Drivers zitatokea katkati ya dirisha hilo
Right click kwnye item ya kwanza ambayo ni jina la user
Chagua scan for hardware changes
Note: fanya hivyo ukiws tayari umeunganisha pc kwenye internet.
Pia unaweza ku update drivers moja moja , ichague hio driver
Chagua update driver software.
Kumbuka kutoa mrejesho ukifanikiwa .