Ile ya mijusi nayo imekaaje? Kwamba ushaelewa ni mijusi sio binadamuSio kila conspiracy theory ni ya kuaminika
Unasemea wale dinosaur?Ile ya mijusi nayo imekaaje? Kwamba ushaelewa ni mijusi sio binadamu
Naelewa ili sikujua we are this far😒Madam ndio unajua leo?
hata hizi vita zote ni planned, yani kuna watu ndio wanachezesha haya mambo na lengo kuu nadhani unalielewa kama ni maomaji wa BIBLE.
Hapana kuna story sijui ndio hizo mnaita theory zinawataja wakina Zuckerberg na wengine kwamba ni mijusi sio binadamu wa kawaida, copy that?Unasemea wale dinosaur?
ilikuaga inachapwa kwenye gazeti fulani miaka ya nyuma. Ni stori ya kutaka uwe na akili timamu ndio utaelewaHii imerudiwa tena leo ingawa umeandika kidogo sana story yake ni ndefu mno
Story yake ni ndefu sana hata humu kuna mdau aliwahi kuifafanua kwa urefu kidogo ipo humu humuilikuaga inachapwa kwenye gazeti fulani miaka ya nyuma. Ni stori ya kutaka uwe na akili timamu ndio utaelewa
Ukiwa mtu wa kutafakari na kuunganisha matukio unaelewa ila ukiwa mtu wa kusikiliza tu na bendera kufuata upepo hautaelewa kitu.Sio kila conspiracy theory ni ya kuaminika
Yeah upo sahihi . Na nimekuelewa..Sasa wengine wanabeba conspiracy bila tafakuri ya kina. Hawana muda wa kushirikisha Bongo zaoUkiwa mtu wa kutafakari na kuunganisha matukio unaelewa ila ukiwa mtu wa kusikiliza tu na bendera kufuata upepo hautaelewa kitu.
Ukiunganisha dots kuna kitu kinamake sense.
Angalia kwa mfano wasanii wetu lifestyle wanayoishi,pesa wanazospend haziendani na kazi wanayofanya halafu baadae wakishatolewa kwenye mfumo wakiumwa wanaomba michango ya hela ya dawa wewe huoni hapa kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia?
ooh hapo sawa nimekuelewa wanabeba kama ilivyo na kusambaza umbea bila reasoning.Yeah upo sahihi . Na nimekuelewa..Sasa wengine wanabeba conspiracy bila tafakuri ya kina. Hawana muda wa kushirikisha Bongo zao