Jinsi CHADEMA wanavyomwelewa Rais Magufuli

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
8,057
Reaction score
20,165
*If Magufuli says that after visiting toilet, everyone must wash hands with soap........*

*What would the opposition leaders say?*
[emoji848]

*Zito-* Magufuli has taken money from the soap manufacturing companies. I have evidence. [emoji1562]‍♂

*Mbowe-* Magufuli wants the poor people to spend their money to wash their hands instead of buying food, this is a primitive CCM way of looking at things. 🤷🏿‍♂🤷🏿‍♂🤷🏿‍♂

*Msigwa-* I will not wash hands as it is not written in the constitution. Until we get the New constitution. [emoji34][emoji34][emoji34]


*Mdee-* It is my life, these are my hands why should I be told to wash my hands by a CCM leader? We will do what we want! [emoji44][emoji44][emoji44]


*Lema*- We will not waste water washing hands, after all they charge us taxes for water which they dont provide, we buy water from our fellow citizens because the govt has failed to supply water! [emoji860][emoji860][emoji860]


*Maalim Seif-* This is a conspiracy to close all the hospitals. We have all the inside information. [emoji31][emoji31][emoji31]



*THE TRUE STATE OF TANZANIAN POLITICS!*
 
Hahahahahahahahahahhahahahhahahahhahahhahahahhahahahhaha...

Nimeipenda ya Zitto, Yeye anadeal na pesa tu..
 
Ingekuwa lugha yetu, tungechangia wengi sana## Ngojanijalibu kidogo kuwakalimali:Magufuli anasema"Utokapo chooni unatakiwa uoshe mikono yako kwa kutumia sabuni" Nao watu wa upinzani wana yao ya kusema....
 
Ingekuwa lugha yetu, tungechangia wengi sana## Ngojanijalibu kidogo kuwakalimali:Magufuli anasema"Utokapo chooni unatakiwa uoshe mikono yako kwa kutumia sabuni" Nao watu wa upinzani wana yao ya kusema....
Hahahaha wengi St Kayumba
 
Jamaa kawapatia sana
 
Big up chadema maana nyinyi ndio mnaonekana mnauthubutu wa kuhoji mpaka mleta maada kajumuisha yeyote anayehoji ni chadema (zito,seif)
 
Akili za mipunguani ya ccm, maccm yakiambiwa na huyo maguufool yale mavi yalivyo pumbafu, yatakula tu!
 
Akili za mipunguani ya ccm, maccm yakiambiwa na huyo maguufool yale mavi yalivyo pumbafu, yatakula tu!
Nina uhakika hujaelewa chochote kwenye hiyo mada, maana pamoja na Dj wenu ni zero tupu hamuwezi english.

Mnachokiweza bavicha ni matusi tu.
 
Hahha kamenifurahisha haka hasa hyo malim seif[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Niliupenda sana upinzani kwakua ulisaidia kuikumbusha serikali pale ilipokosea. Ila baada ya kuja muhuni mzee mamvi 2015 ametubadilishia kabisa upinzani tz. Hawana sera kazi yao kutukana matusi tu.

Hawataki ushauri, wanajiona wao ni miungu watu wasioweza kukosea. Wenyeakili wameanza kukimbia kueleea ccm.
 
Vijana wa Lumumba bhana
 
Inasikitisha sana chadema tuliyoipigania kugeuka pango la walanguzi mbele ya macho yetu.
 
Kuunga mkono juhudi za kuvunja katiba? Mmmh
 
Wishful thinking?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…