Jinsi au namna ya kuacha kazi

Jinsi au namna ya kuacha kazi

Hiyo kazi uliiomba au magumashi yalitumika? Taratibu ulizotumia kuomba kazi, basi na kuacha kazi pia zifuate taratibu zake hasahasa toa taarifa kwa muajiri wako kimaandishi ili sheria zikulinde mbeleni huko, usikurupuke kumbuka Serikali iliyopo magumashi hayana nafasi!
 
Kwanza ungetupea sababu ya kusudio lako kuacha kazi on 22nd, pengine ungeweza pata ushauri mzuri kwa kuangalia maslahi ya pande zote mbili nilimaanisha unapo toka na unapo elekea
 
Back
Top Bottom