Jinsi applicants wa chuo kikuu wanavyochaguliwa!!!

Jinsi applicants wa chuo kikuu wanavyochaguliwa!!!

Aen Urner

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
380
Reaction score
376
Jamani swali langu ni hili;
Kwa mfano applicants wawili wakaomba kozi moja tuseme Electrical Engineering

QUALIFICATIONS::
Applicant A: akawa ana Div I point 7
Phy-C Chem-A Math-C
Applicant B: akawa ana Div I point 7
Phy-C Chem-C Math-A
Je kati ya hao nani ataanza kuchaguliwa kabla ya mwingine kwa kuangalia necessary requirements katika kozi husika?
Natanguliza shukurani zangu kwenu*
 
Jamani swali langu ni hili;
Kwa mfano applicants wawili wakaomba kozi moja tuseme Electrical Engineering

QUALIFICATIONS::
Applicant A: akawa ana Div I point 7
Phy-C Chem-A Math-C
Applicant B: akawa ana Div I point 7
Phy-C Chem-C Math-A
Je kati ya hao nani ataanza kuchaguliwa kabla ya mwingine?
Natanguliza shukurani zangu kwenu*
Inategemea na kozi mkuu, kuna kozi zinahitaji sana kemia mfano Bsc chemistry na kuna kozi zinahitaji sana maths!! sasa hapo inategemea wameomba nini!!

Mfano...actuarial science, huyo mwenye A ya maths angechukuliwa bila shida, hata kwenye engineering huyo mwenye A ya hesabu ndio angepewa kipau mbele!!! hesabu ni hesabu mkuu na ukifaulu maths unakua na nafasi kubwa almost kila sehem!!

NB: Kuchaguliwa hawaangalii tu form6 wanaangalia pia olevo matokeo yao yalikuaje!!
 
Nimekusoma mkuu!
Thanks
 
Inategemea na kozi walioomba kwa mfano fikiria iwe bachelor in statistics na bachelor in chemistry nani ataanzwa chaguliwa ndio utapata jibu
 
Back
Top Bottom