jins ya kudownload kudownload adobe

Nenda youtube, chagua video yeyote na itagoma kuplay, itasuggest udownload adobe flash player.. Then there u go, idownload faster adobe 11. Ina kama mb 10
 
mimi nna software za adobe zaidi ya 70 unaposema msaada adobe sjui hata nkusaidieje
 
Aisee kwel hapo umezingua arif!
Adobe programz zko mingi xana.kngn what destination device?
 
dobe ipi?maana kuna photo shop,flash player,pdf reader,premiere,illustrator na kadhalika wakadhalika.
 
anahitaji pdf reader huyu, nilikutananae jukeaa la elimu analalamika hawezi ku view majina ya diploma za ualimu ambayo yako in .pdf format, so mpeni jinsi ya kudownload adobe pdf. Kwa kuanzia hebu kijana gongaHAPA tuone inakuaje
 
halafu adobe reader x ipo inabidi iekwe kule store watu wapate nao ili kuconvert pdf to word kwa wale copy and pasters wa vyuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…