Jinja city vs Mwanza city

Depay

JF-Expert Member
Jun 22, 2015
6,562
3,902
Jinja has the second largest city economy in Uganda and Mwanza in Tanzania.When juxtaposed against each other however which of these two cities is a better hub and why???
 
Depay actually Mbarara is the no. 2 city in Uganda. Ssebo amejenga kwao si mchezo, a young Ugandan i met aliniambia kuwa vijana wanaotaka kuingia university karibia wote wanachagua mbarara uni kama 1st choice, kisa wana facilities kushinda makerere.
 
Aaaw Really!I have never been to Mbarara so I wouldn't lie as to what comparison I can make!
 
Jinja nalo ni jiji?
In my opinion hata Moshi ni kubwa kuliko Jinja.
The thing is Jinja kuna viwanda vingi established zamani na vingine vinakufa
 
Jinja has the second largest city economy in Uganda and Mwanza in Tanzania.When juxtaposed against each other however which of these two cities is a better hub and why???
Tupiamo tupicha basi....
 
kwa
Jinja haiwezi kulingana na Mwanza wala Arusha labda Mbeya.

Mkuu Mtazamo, mji wa Jinja unaogoza kwa viwanda uwezi kulinganisha na Mwanza - wakihamua kuvifufua vyote Tanzania itakuwa aioni ndani labda tubadirike - lakini tukiendelea na rhetoric zetu kuhusu ujenzi wa viwanda itabaki kwenye makaratasi tu na majukwaa ya siasa - we're not serious at ALL!!
 
Jinja iko juu sana, ina watu wajanja sana tena wasomi, hata mji upo vizuri kuliko mwanza
 
Kama ni kuzungumzia suala la HUB mji wa Bukoba au Mkoa wa Kagera ndio unapakana na nchi nyingi sio Mwanza.
Umeambiwa kwa lakezone mwanza ndio centre hub we unaleta soga za bukoba hapa sasa bukoba au kagera ni centre hub kwa lake zone???
 
Umeambiwa kwa lakezone mwanza ndio centre hub we unaleta soga za bukoba hapa sasa bukoba au kagera ni centre hub kwa lake zone???

Ungejua tofauti ya hub na spoke wala husingeleta shallow argument yako - tatizo lenu mtu akisha zungumzia Mkoa wa Kagera basi akili zenu zinakimbilia kwenye pre concieved ideas zenu - si kitu kingine.

Kama ungekuwa na nia njema ungetoa sababu za msingi kwa nini Mwanza inakuwa designated kama HUB and not Bukoba ukasikiliza na mimi ntatoa sababu zipi.
 
wengi wetu tunajadiri tukiwa Tanzania, mji wa Jinja ni mji ulioplaniwa saana kuliko mwanza, ukitoa kutekelezwa na serikari
 
Back
Top Bottom