Jini wa pesa

Jini wa pesa

jossee4x

Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
16
Reaction score
3
Jamani nimekutana na jini leo, nilijua utani , alikua katka lijishepu la mdada mzur, akanambia anaitwa genie clauneck,
 
Halafu ikawaje? Mbona umeishia njiani?
Malizia story yako.
Na Ukajuaje kama ni jini wa pesa? Au una maana gani kumuita Jini wa pesa?
Funguka ili tukusaidie.
 
Acha uongo hakuna jini mwenye jina la kizungu. Majini yote ni ya ukoo wa mudi.
 
Acha uongo hakuna jini mwenye jina la kizungu. Majini yote ni ya ukoo wa mudi.

Usiongee vitu ambavyo huna elimu navyo unavyoona bin adamu ktk mtawanyiko wa asili,dini na mataifa na ndivo walivo majini hivohivo
 
Back
Top Bottom