Jini mahaba

Mkuu mapenzi na majini mahaba ni matamu sana.Sasa tatizo la majini leo linaweza kuwa jike kesho kutwa likawa dume.Wasiwasi wangu ni pale likiwa dume wewe ndio litaanza kukubandua na hivi huna papuchi itabidi tu upoteze rinda
 
hawa viumbe wasikie tu kwa jirani....ni matata sana na km utabahatika kukaa nae hata cku moja usije ukapindisha maneno au matendo yako itakula kwako na watakufanyia kitu kibaya sana, na wanawivu mbaya sn...hakikisha km unakua nae usije ukatongoza au kua karibu na msichana kimapenzi hio imekula kwako...in short atataka ufuate masharti yake daima
 
Mkuu mapenzi na majini mahaba ni matamu sana.Sasa tatizo la majini leo linaweza kuwa jike kesho kutwa likawa dume.Wasiwasi wangu ni pale likiwa dume wewe ndio litaanza kukubandua na hivi huna papuchi itabidi tu upoteze rinda
 
Duh aisee ila kiboko yao ni nguvu ya mungu tu
 
Unae au watutania apa?!
 
Pole sana ila usifikie huko yupo wako mzuri Mungu kakuandalia muda ukifika utafurahi na kusahau yaliyopita ..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…