Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,587
- 28,750
Mkuu haya uliyoayaandika umeyaandikwa kwa misingi ya Biblia??asigwa;
Leo umetoa mpya. Bado weye unaenda kwa hao wapiga ramli chonganishi. Ati pepo linakemewa na kutaja lilikotoka. Neno la Mungu linasema, Shetani asemapo lolote ni uongo kwani yeye ni baba wa huo uongo wala kweli haimo ndani yake. Asemapo huo uongo ndiyo kweli yake hiyo. Sasa weye wasema ati anataja aliko toka. Huo ni uchonganishi wala sio kweli. Siku nyingine atakupiga mwara, ati; Mamako mzazi kanituma nije muua huyu mwanao, si tiyari chuki kati yako na mamako?? Alikuja ili; aibe, aue na kuharibu. Hilo ndio ujio wake kwenye hiyo familia. Umuue mamako, umchinje na kuharibu mahusiano yenu.
Kamwe, usimsikilize aliyepagawa.
Kwa ajili ya mada; Kuna maambukizi yaletwayo na majini. Hii ndiyo kweli. Kama wachawi wanatembea na wake au waume za watu ni rahisi majini pia
"Njoo umuone huku ni mpangaji wangu'Jini mahaba yukoje?
Picha mkuu"Njoo umuone huku ni mpangaji wangu'
subiri kidogo nimpige picha,ila anadai anataka umuone live apo... vp nimwambie ajePicha mkuu
Nadhani ni aina yote ya maradhi yanaweza kupandikizwa kichawi....mkuu sina uhakika juu ya jini kuambukiza ukimwi, bali ninauhakika kwa 100% kuwa upo ukimwi na magonjwa kama cancer, moyo n.k ya kupandikizwa kwa uchawi au kimajini....
Aje tuu hata usiku huu mida huo nishapiga pov 5 hvsubiri kidogo nimpige picha,ila anadai anataka umuone live apo... vp nimwambie aje
Na yanapona kwa hospitalini?Nadhani ni aina yote ya maradhi yanaweza kupandikizwa kichawi.
Hapana, kwa maombi kwa Mungu.Na yanapona kwa hospitalini?
..hahaha...kwa hyo MCHEPUKO wa mkeo ni JINI...daah..hongera mumemwenza wa jini[/QUOTE
"Cheka sana,Simulia sana,lkn omba Mungu yasikukute".
eennhh!!! Unanitisha mkuu.anafananaje huyo??."Njoo umuone huku ni mpangaji wangu'
..hahaha...kwa hyo MCHEPUKO wa mkeo ni JINI...daah..hongera mumemwenza wa jini
Kuna kila daliliUnajuaje anaingiliwa na jini???.
Kweli mkuu"CHEKA SANA,SIMULIA SANA,LAKINI OMBA MUNGU YASIKUKUTE".
Ndo hivyo Masai.Kweli mkuu