yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,917
- 4,169
Nina swali dogo wanajukwaa.
Hivi inawezekana jini mahaba kumwambukiza mtu virusi vya ukimwi limuingiliapo kingono? Na mimba je?
Maana tumegundua huwa linamuingilia mrs. na hofu imenijaa.
Karibuni wajuzi mtujuze.
Basi ni hatari sana. Kumbe unaweza kudhani ni jini wakati sio, watu wanamuingilia kichawi. Natamani nipate uhakika pia kama jini anaweza kuambukiza huu ukimwi wenyewe wa kawaida ambao ukienda kupima hospital unaonekana.Wapo watu wenye huo uchawi wa kuingilia wanawake kimazingira pia, sio jini mahaba tu.
...mkuu sina uhakika juu ya jini kuambukiza ukimwi, bali ninauhakika kwa 100% kuwa upo ukimwi na magonjwa kama cancer, moyo n.k ya kupandikizwa kwa uchawi au kimajini....
Hapa mzee kuna uchawi mtu anamuingilia mkeo kididhain na ww ukiwepo kitandani bila kujiwa mkeo analiwa,akijuwa ww ndo unampiga mashine
Yapo hayo magonjwa ya kichawi sema ukienda hospitali ukipima majibu yataonyesha hujaathirika,ila utaumwa dalili zote za ukimwi na unaweza kufa pia.
..hahaha...kwa hyo MCHEPUKO wa mkeo ni JINI...daah..hongera mumemwenza wa jini
Asante mkuu. Nimekuelewa sanaInawezekana kuambukizwa japo ni nadra sana kutokea.
Kitu common ni kupewa mimba ya kichawi na kuzaa watoto wa kijini ambao hugeuzwa kuwa mawakala wa kuzimu moja kwa moja, watoto wa kipepo ni wengi sana aiseee.
Kesi nyingi za kuambukizwa ni za kutengenezewa ukimwi feki wa kichawi na wajanja wa mujini halafu unatupiwa, ila ukipiga maombi tu huwa yanalipuka na kutaja yaliko toka na ukishayaondoa mwathirika anapona ghafla.
Kumbuka majini hayo huwa hayaji na magonjwa tu, yanakuja na vitu kibao kama nuksi, kukataliwa, kiburi, kuvuruga ndoa na makorokoro kibao.
Inawezekana kuambukizwa japo ni nadra sana kutokea.