Jini mahaba ananipa mambo


kaziii kwelii kweliii..hivi majini mahaba ni story za kweliii

gaga wewe unasali wapi twende wote?
Mkuu Saint Ivuga Rafiki yangu Pole sana jaribu kutumia hii dawa ikishindikana wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu address hii fewgoodman@hotmail.com nitaweza kukusaidia fanya hivi: kila siku usiku

chukuwa maganda ya vitunguu saumu tiya kwenye sufuria ya maji changanya pamoja uwe kila wakati wa kulala

ujipake hayo maji ya Vitunguu samu mwilini mwako wote kisha ulale atakuwa mbali na wewe kwa muda fulani hutakuwa

tena unajikojolea usingizi tena tumia kwa muda wa wiki 3 kisha ue unipe Feedback.




Huyu ni JINI MAHABA wa Kike anaitwa SUCCUBI huwajia wanaume na kufanya nao Mapenzi wakati usiku umelala.





Huyu ni JINI Subiani Jıni Dume huyo anaye wapenda wanawake,akikupenda huwa anakuja usingizini kwa sura kama hiyo hapo juu ndio amejitahidi hapo kujiweka Bonge la Handsome kwa ajili ya kuwafuata wanawake usiku usingizini.
 
Last edited by a moderator:
Fafanua kidogo huwa inakuwakuwaje ili wataalamu tukueleweshe, isije ikawa ni nightmare za kawaida tu halafu ukadhani ni jini mahaba.
 
mbona washafunga ndoa siku nyingi,wana watoto wawili mpaka sasa na huyo jini wake
 
Mmmh katafute dawa maeneo ya tanga dawa ipo la cvyo ndg itakuwia vgm SN maana yana wivu hayo zaidi ya binadam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…