Hilo litakuwa Brazil.Asili ya hilo jini ni nchi gan au america
[emoji1787][emoji1787][emoji23]Hilo litakuwa Brazil.
Shauri yake aendelee kulibania mademu zake siku litakuja kumbaka yeye mwenyewe
Aisee kweli kabisa umenikumbusha Popo Bawa alikua anaashkia wanaume.Hilo litakuwa Brazil.
Shauri yake aendelee kulibania mademu zake siku litakuja kumbaka yeye mwenyewe
[emoji23][emoji23]Naona katibu Pompeo umeamua kutangaza rasmi biashara yako ya ulozi.
Nani yupo tayari tufungue group la Whatsapp la kupeana updates za waganga nguli hapa nchinj???
Waganga wa mitishamba / wa jadi wanasaidia sana Wale wazee wa ndele na utajiri wa majini Naskia kuna wengine wanafuga majini kwenye vibanda kama kuku Mnaonaje tukafungua group la whatsapp la namna ya kuwapata na kupeana dondoo za wapi wapo waganga nguli??? Hoja yangu isifutwe.www.jamiiforums.com
Kiukweli niwe wazi, mimi ninafuga jini qmbalo nalitumia kunipatia mali na kupata ninachotaka, lakini sasa cha ajabu linakua linataka kuplay role ya jini mahaba kwa kila msichana nitakaekua nae, yani kwamba nalo linataka mwanamke nitakaekua nae kimapenzi...!
Hii kitu inanipa stress sana, nakumbuka mwaka 2007 nililinunua lubumbashi kwa shilingi milioni 20, japo linaniingizia si chini ya milioni 2.5 kwa siku lakini tamaa zake ndio naona kero, natamani hata nilirudishe kwao.
Mnanishaurije?? Jini linalonipa utajiri linavunja kila mahusiano yangu nitakayokua nayo kwa tamaa
Natafuta pesa na mimi unipatie moja..npate mapesa mengiTangazo la nini