Jini kismati vs jini mahaba

Asee me mara nyingi kila nkipata dem wakati wa tendo huwa natokwa jasho sanaaa

Mpk nashangaa
Tatizo haliwezi kua nna huyu jamaa wa chini hapo
 
Hahahaaa mwambie akoge maji bahari

Tuweke utani pembeni kidogo, hii ni mara sijuwi ya ngapi nasikia watu wakisema haya uyasemayo....Kuna ukweli wowote kuwa ukioga maji ya baharini unaondoa mikosi? Naonaga wahindi na waarab pale Coco Beach wakioga baada ya kuvunja nazi.
 
Asee me mara nyingi kila nkipata dem wakati wa tendo huwa natokwa jasho sanaaa

Mpk nashangaa
Tatizo haliwezi kua nna huyu jamaa wa chini hapo
Shinikizo la damu hilo
 
Tuweke utani pembeni kidogo, hii ni mara sijuwi ya ngapi nasikia watu wakisema haya uyasemayo....Kuna ukweli wowote kuwa ukioga maji ya baharini unaondoa mikosi? Naonaga wahindi na waarab pale Coco Beach wakioga baada ya kuvunja nazi.
Yana chumvi asilia na chumvi ni tiba ya kuondoa mikosi
 
majini mahaba wanaleta mikosi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…