Jini anataka...

Vannele

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2013
Posts
287
Reaction score
90
Yaliyojiri uswazi... Mdada kapandisha mashetani... Jini anataka kijana aitwaye Hamisi amuoe kiti wake...
 
Hamisi hayupo sasa? Afu umenikumbusha kuna kitu nataka kwa Paw ngoja nijipandishe ruhani.
 
Yaani nimepata
solution ya matatizo yangu yoote. Najifanya
kochi la jini mie. Hehehe uache ushahidi basi na wewe!
Yaani alll the solution? haha hah .. ngoja nicheke kiruhani .. yaani mie ndio nimekuwa Khamisi wako haha hah ... pls you a grown up make sure Paw ...eh unanielewa sio?
 
Last edited by a moderator:
hello guys uswazi nako kuna vituko hiyo story ni ya kweli?
 
Sasa hapo Hamis si atakuwa kaoa jini juu ya kiti...
 
Kwa mtindo huu, lazima wote tuolewe.....ukiona hakieleweki unamtaja tu kuwa kaamriwa aoe.......
 
Yaliyojiri uswazi... Mdada kapandisha mashetani... Jini anataka kijana aitwaye Hamisi amuoe kiti wake...

duh..,,,nashauri MODS waweke JINI FORUM,,...cz naona wako wengi sana,,....nao wapate sehemu yao ya kujiachia aka JINI FORUM CHAT
 
sasa hamisi amekataa au vipi? hebu tuambie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…