Jinamizi la majini Serikalini lilianzia hapa

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,959
95,282
Mh Lissu alisema sana bungeni juu ya huu wizi lkn Serikali yetu ilikaa kimya.

Leo hii wabunge wachache wa CCM iwe kwa kupanga au wameamua kujipambanua ndiyo wanaanza kuona huu wizi?

CHADEMA imejaliwa kuwa na viongozi wenye akili na kulitetea taifa.

Your browser is not able to display this video.
 
Aisee ndiyo maana alipigwa risasi kama jambazi kumbe alimchafua rais kwa kumzunguka rais JK ili mabilioni yalipwe, dah vitu vingine huwa tunamsingizia JK bure. Nimeamini JK ni mzalendo sana
 
Serikali imejaa vibaka na wezi, ccm ndo mlezi wa hao vibaka na wezi...kwahiyo tusitegemee kuisha kwa wezi ndani ya serikali maana mlezi wao bado yu hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…