Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
Hapo sikubaliani na wewe. Propaganda or not aside, this is a nightmare!Mkuu
Hili si jinamizi... ni mpango maalum huo wa kutaka waingie waweke base yao kwa kisingizio cha kutafuta na kudhibiti silaha za maangamizi. Au tumeshasahau WMD za Iraq? Hazijaonekana mpaka hii leo. Na bado Iraq inaendelea kuwa liberated na kupewa freedom...aka "domokrasia".... ziko bases ngapi za US huko Iraq? Kuna wanajeshi wangapi wa US huko Iraq? Hivi ushindi ulitangwazwa lini? na reconstruction inaendeleaje huko?
Ni twist tu ya yaliyotokea Iraq.... bado mchezo mchafu unaendelea na wengi hawajaushitukia.
Hapo sikubaliani na wewe. Propaganda or not aside, this is a nightmare!
I stand to be corrected!*Mkuu kumbumbukumbu zinakukimbia kwa kasi...
Si kweli, bado hazijanikimbia (nafanyaga yoga kila siku!)
*Nani ameingiza silaha Libya...US-NATO, Qatar, France ambazo ndizo zinazoangamiza watu.
Ni zaidi ya hao, eg. Russia and China
*Hizo zinazozungumzwa hapa inawezekana kabisa ni kuongeza chumvi...idadi umeinukuu hapo, 20 000.
Hio idadi sio mimi nilieinukuu, soma chanzo cha habari
*Kama walikuwa so concerned kwa nini hawakutaka mzozo wa Libya ambao waliuanzisha utatuliwe kwa amani, majadiliano.
Hawakuanzisha mzozo wa Libya, sema labda waliudandia
*Bado sishawishiki kwa idadi iliyotajwa wala kusemwa ni nightmare.
Madhumuni yangu si kukushawishi. Hiyo nightmare niionavyo ni madhara ya silaha kusambaa kwenye nchi za jirani kama vile Chad, Niger, Nigeria au hata Algeria etc.
*Mabomba ya kusafirisha gesi kwenda ulaya tayari yanafanya kazi lakini special forces zao na vibaraka wao hawakujua kuwa kuna maghala ya silaha yanahitaji kudhibitiwa?
Ni mabomba gani unayozungumzia? Hata Gaddafi naye alishageuka kuwa kibaraka wa hao hao west unaowazungumzia.
*This is not a nightmare..it is a calculated move to give a pretext to send the forces, teams into Libya to search for and secure the " missing yellow powder" from Russia.
Unfortunately, I am not a fan of conspiration theories. I see no difference between Russians and Americans!
And you believe that?The deadly dilemma of Libya's missing weapons - CSMonitor.com
Hii article inasema all of North Africa will be a no fly zone....inawezekana haya ndio malengo ya US-NATO. makala inatoa figure ya 400+ ya missing Russian missiles
I will put my answers in red, within the quotation markupI stand to be corrected!
MkuuAnd you believe that?
Don't understimate others' ability to analyze world/African affairs, (just an advice)!Weapons cache risks - Libya
na
Unaona mlo unaotayarishwa? Mkuu ukipitia makala zote hizo utaona nini kinatayarishwa kwa Afrika.
Vipi kuhusu John Major, John McCain, CIA na hata MI5? Just to mention a few! Hawa walikuwa wana-deal na serikali haramu?Mkuu Russia na China walikuwa wana-deal na serikali halali ya Libya...mbona unapindisha mambo hapa?
Hata Tz wananunua silaha kutoka nchi nyingi tu zinazotengeneza silaha.
Hapa tunazungumzia US-NATO. Qatar, France kutengeneza mzozo kwa propaganda ya vyombo vya habari na kuwapa silaha wasaliti wa Libya.
Hayo mabomba hayakuwepo wakati wa Gaddafi?mabomba ya kupeleka gas europe....
UPDATE 2-Libya-Europe gas pipeline repaired - rebels | Reuters
Don't understimate others' ability to analyze world/African affairs, (just an advice)!
Awamu ya pili ya ukoloni ndo imeshaanza barani Africa. Ninatabiri, (kwa kutumia mbinu za Sheikh Yahya) baada ya miaka ishirini ijayo waafrica itabidi tuingie msituni tena kupigania uhuru!
Hayo mabomba hayakuwepo wakati wa Gaddafi?
Asante kwa uhimizo, kwa hili sitoacha kwani sikuanza leo. Nawe endelea kutukomboa toka kwenye mawazo yetu ya kikoloni!Hapa sijui unalobishia ni lipi....it is an open secret... AFRICOM na malengo yake Afrika. British and French colonialism mentality waliyonayo mataifa haya dhidi ya Afrika pia sio siri.
Au mkuu umeshasahau utabiri wa colonisation of Afrika kwa mara nyengine? Mkuu uendelee kufanya yoga kwa bidii.
Naelewa wewe na maprofesa wetu ni wachambuzi wazuri tu wa mambo ya dunia na mambo ya Afrika...lakini hakuna anaehodhi elimu, maarifa peke yake. Tunapochanganya mawazo, tunaporusha hoja tofauti hata kama zinapingana ndipo tunapokuza upeo.