Mugabe awaponda viongozi wa Africa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mugabe awaponda viongozi wa Africa!

Discussion in 'International Forum' started by Askari Kanzu, Sep 26, 2011.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Wengi wao ni vibaraka wa magharibi - Mugabe asema

  Ni baada ya kurudi Harare toka kwenye mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa:

  *Viongozi wengi wa Africa ni vibaraka. Wamejiuza kwa watawala wa magharibi
  *Viongozi hao pia wanasaliti misingi iliyowekwa na waasisi kama akina Kwame Nkrumah
  *Tunataka kuona serikali ya mseto huko Libya


  MUGABE RETURNS, WANTS INCLUSIVE GOVT IN LIBYA


  September 26, 2011 by newsdzezimbabwe

  [​IMG]

  President Mugabe has returned after being stuck in New York because of problems with his chartered Air Zimbabwe plane.

  He told reporters in Harare yesterday soon after arriving back home from New York where he attended the 66th Session of the United Nations General Assembly, that he was hoping for an inclusive government in Libya.

  "As far as we are concerned, the African position is that the NTC can only have a seat in the AU if the Summit of the AU recognises that," said President Mugabe. "In fact, now that they are in control, they are the de-facto authority of Libya.

  "We will not go as far as the Europeans, Nato countries, to recognise them de jure to say they are the absolute government. No, of course, because we still want negotiations, inclusive negotiations between the NTC and the Gadaffi loyalists.

  "So, that to us remains the issue. Will there be negotiations? Will there be an inclusive government? Will there also be the withdrawal of those who intervened illegally using Chapter VII of the (United Nations) Charter and interpreting it in a broader sense, which sense was an illegal one, in order to enable them to do the things they have been doing: pounding, battering and harassing the population of Libya."

  President Mugabe said some African countries were "selling out" because they were receiving assistance from Westerners.
  He said divergent opinion over the Libyan conflict gave ample evidence of expediency.

  "The period in which we are is a period in which there appears to be a reversal of what the founding fathers did and the principles of the founding fathers,"
  said President Mugabe.

  "Principles are being sacrificed on the altar of expediency as (the late Ghanaian leader Kwame) Nkrumah would have said. Because you are being assisted by the West, you, therefore, must bow to the West.

  "It is a terrible period and it is selling out of the principles of the founding fathers, and Zimbabwe can not stand for that."


  Mugabe said the African Union (AU) determined that Libya's National Transitional Council (NTC) will only be accorded a seat on the continental body after the AU Summit accedes.

  He said African leaders were backing negotiations between the NTC and Colonel Muammar Gadaffi's loyalists as well as the withdrawal of Nato forces from Libya.

  -Newsdzezimbabwe.blogspot
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Bob unaongea ukweli mtupu,we si unaona JK na Kapuya wake wanataka kuliuza jeshi letu. Natoa WITO kwa Viongozi wa Afrika kuweni WAZALENDO
   
 3. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Awamu ya pili ya ukoloni ndo imeshaanza barani Africa. Ninatabiri, (kwa kutumia mbinu za Sheikh Yahya) baada ya miaka ishirini ijayo waafrica itabidi tuingie msituni tena kupigania uhuru!
   
 4. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Viongozi wenyewe ndo akina Kikwete???
  Kiongozi unayenunuliwa suti unagawa mbuga zetu za wanyama??
   
 5. N

  Nonda JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu
  Vipi tena? Hukuyafahamu maneno ya Mugabe? Ni wazi,wakoloni waliondoka kwa mlango wa mbele na kurudi kwa mlango wa nyuma. Kwa hiyo hawakuondoka.Walitoa uhuru wa karatasi tu na kushusha bendera zao. Lakini walituachia "wakoloni" wenye rangi ya ngozi kama yetu. Bila kumung'unya maneno, waliweka "vitarishi" wao.

  US-West ndio makao makuu ya njia zote, fedha,upangaji wa bei za bidhaa,mahakama za kuwaadabisha,kuwatisha na kuwaadhibu wanaotaka mabadiliko ya mifumo ya kinyonyaji.

  Wakati Mugabe na Gaddafi wana madhambi yao bado wanaonekana ndio watu wanaoweza kusema wanachokiamini bila kupindisha maneno.

  Kwa bahati mbaya, una msimamo kuwa anayofanyiwa Gaddfi na US-NATO ni kitu kinachomstahikia halafu una ndoto ya Afrika au nchi za kiafrika ziwe huru.

  Hata Mugabe anaendelea kuonja joto ya jiwe,vikwazo alivyoekewa na US-West. Zimbabwe imedhoofishwa sana na kwa hiyo hata Utawala wa Mugabe ni rahisi kuondoshwa.

  Huo utabiri wako, umeshatimia au niseme ndio uhalisia..... Hatat hivyo, Bado Afrika na viongozi wa Afrika wakitaka sasa hivi kutokana na issue ya Libya ndio wanaweza kuigeuzia US-West kibao...sikiliza ile hutuba ya Farrakan mwishoni amewapa viongozi wa Afrika fikra,pendekezo la kuikokoa na kurudisha heshima ya Afrika.

  Hata ukipitia hii mada utaona anayosema Farrakan yanaingia akilini. It hurts but do what we did, Africans tell Europeans | Top News | Reuters
   
 6. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Swala hilo (red) linafahamika vizuri tu. Huyo Farrakhan sina taim naye (nakuachia wewe na "wanamapinduzi" wengine m-dili naye mpaka hapo mtakapomchoka).

  Hizo njia tulishazipitia!
   
 7. N

  Nonda JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Kama umepata taim kwa Mugabe na anachokisema, kwa nini unafunga njia za kupata mawazo kutoka kwa wasema ukweli wengine?

  Mimi silitazami hili kama suala la taim, lakini ni kuchukulia kuwa kila mtu ana nafasi ya kusema na kusikilizwa.sio lazima kufuata anayosema.
  Kama huna taim sawa...unataim ya kumsikiliza nani? au "wanademokrasia" wepi?

  Kuna sehemu umeandika kuwa kwako wewe kutomsapoti Gaddafi haimaanishi kuwa unampinga.Mimi nimekufahamu vizuri tu juu ya kauli hii. Lakini isiishie hapo. Mimi kumsikiliza Farrakhan pia haimaanishi kuwa ninampenda,kumsapoti au ...lakini sijajifunga kuwa nimsikilize fulani tu. Na kuna vitu anavyovisema Farrakan vinaingia akilini.
   
 8. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Huyo Louis Farrakhan nilimsoma sana udogoni, tangu alipochukua hatamu toka kwa Elijah Muhammad, na nishamchoka. Na sijasema 'nimepata taim' kwa Mugabe. Ninaripoti kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari mtandaoni. Ni hilo tu!
   
 9. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #9
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  mwanaume mgabe,safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 10. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  si wewe huwa unajiita NTC au?!!! ndio wewe tena leo unasema ukoloni uko Afrika?!!! duh kweli wtz hamueleweki ndio mana mnafurahi kusaidiwa mbu net
   
 11. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Hivi wewe ni mwendawazimu au? Hebu toa takataka zako hapa. Unavyosema "wtz hamueleweki" kwani wewe ni mmandingo?
   
Loading...