Hivi jinajike zima uanajiachorachora halafu unaenda kujianika barabarani ili iweje?
Mi naona ka uchafu flani hivyo kwanza umri wako ushafika magharibi sasa vibiti vyetu vikikuiga tunasema vitoto havina maadili kumbe wamam nao mmeyapoteza
View attachment 62933