Jina lako la kichawi

Mmh roho laanifu

Jr[emoji769]
Nimepatwa na mshangao nilipo baini tafsiri hii, kabla sijaomba msaada zaidi kutoka kwako.

Anyway (No way) ni jina langu la kichawi, jina halisi tuseme ni Alexander Anderson.

Naomba ufafanuzi kidogo juu ya hili...
Jina hili la Kichawi "Roho Laanifu" linasimama katika nafasi gani/ipi katika Ulimwengu wa Kiza....!?

Lina Nguvu ama ni Dhaifu kwa kiwango kipi/gani....!?

Samahani Mshana Jr kwa kukushughulisha juu ya hili....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mimi ni Divine Obsession. Sijaelewa mkuu
 
Nitakuja na post kamili kwenye hili lako ili tufaidi wote

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…