jina lake ni faru ELIZABETH na sio faru HADIJA

kinacho nistaajabisha ni kwamba huyu Faru John na Mkewe Elizabeth kwanini wana majina ya kigalatia?
majina ya kibantu haya hadhi au

swali lako gumu Atiii!! laiti swali hilo lingekuwa mtihanini mi ningeferi vyoo
 
Mke wa faru john anaitwa Hadija.
Majina ya hadija ni majina ya kina mama wanao ilewa na watu wazito kina ntume, hii inadhihirisha kua faru john hakua wa mchezo.
 
Huu ubatizo wa faru mbona unapitaga kimya kimya tunaarifiwa misiba tu?
Halafu nasikia chanzo cha kuuawa faru john ni kuwa alikuwa anachapia faru wenzake ikabidi fumanizi lifanyike ndo wakaamua kumpoteza ili kuleta amani!
 
Halafu nasikia chanzo cha kuuawa faru john ni kuwa alikuwa anachapia faru wenzake ikabidi fumanizi lifanyike ndo wakaamua kimpoteza ili kuleta amani!
Ninasikia alikuwa kiwembe vibaya sana.
 
Huo ulijari wa faru John mbugani, sina hakika kama wanaume wa dar wameokoteza lolote la kujifunza!!
 
Back
Top Bottom