CreatureKH
Member
- May 14, 2021
- 42
- 89
Aliwazalo Mtu ndilo limtokealo pia kinyume chake ni sahihi.Jamani nipo katika mgogoro na nafsi yangu...Je ni hasara gani zinapatikana kutumia jina la ukoo officially
Kuna mtu kanambia (mtumishi) nisitumie jina la ukoo kwa mtoto wangu maana linaakisi kabila lake hivyo itakuja kumpa tabu baadae katika harakati zake za kutafta maisha hasa akiamua kuajiriwa
Badala yake nitumie jina la Babu (linalofuata jina la babake)
Je, kuna ukweli wowote?
Kwamba alimaanisha maswala ya ukabila au maana yake ilikua ni ipi hasa?Jamani nipo katika mgogoro na nafsi yangu...Je ni hasara gani zinapatikana kutumia jina la ukoo officially
Kuna mtu kanambia (mtumishi) nisitumie jina la ukoo kwa mtoto wangu maana linaakisi kabila lake hivyo itakuja kumpa tabu baadae katika harakati zake za kutafta maisha hasa akiamua kuajiriwa
Badala yake nitumie jina la Babu (linalofuata jina la babake)
Je, kuna ukweli wowote?
Tarimo uyuEbu mwite huyo mtoto kimario, au Stambuli au mbacho meku, saria ama mng'anya au shirima fanya haraka
Yes, ukabilaKwamba alimaanisha maswala ya ukabila au maana yake ilikua ni ipi hasa?
Sidhani kama kuna uhusiano wowote hapo.
Kumbe mndu wa kaa, mbonyi tsafo, mekuTarimo uyu
Muite MboweTarimo uyu
Upe muda nafasi, achana na vitu vya kufikirika na umpe jina ambalo anastahili kupewa.Yes, ukabila
Utakuwa ni mnyamulenge?Jamani nipo katika mgogoro na nafsi yangu...Je ni hasara gani zinapatikana kutumia jina la ukoo officially