Jina la Said Nassor Bagaile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

Wakuu tulieni data za huyu Dkt.Kibwengo zipo za kutosha..ngoja patulie kidogo tuweka mambo hadharani..kiufupi wazazi wake ni wakimbizi kutoka Burundi
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii, lakini kwenye vyeti hana shida au?! Yeye alizaliwa hapa au Burundi? Nina haraka Mavipunda kama mkojo wa asubuhi hebu mwaga bwana tuifurahie JF
Kwenye hili hata kijana wakisomali Bashe atatusaidia sana bahati nzuri Bashe aliomba uraia wa TZ akaupata
 
Hii serikali ni ya ajabu sana tumekubali kuongozwa na watu wa ajabu ajabu
 
Kuna watu wengi sana humu wamewahi kusoma na au kufanya kazi na mimi sehemu mbalimbali, wanaweza kukupa majibu mengine na ya ukweli na uwazi zaidi kuhusu mimi na uwezo/uzoefu wangu wa uongozi, kuhusu credibility n.k., n.k.

Ukitaka kujua zaidi kuhusu mimi na kutoka kwangu, nipigie kwenye namba za simu zilizopo kwenye blogu yangu

Regards,
H.K.
Salaam Dr. Ukiweza jibu pia tuhuma za kwenye ripoti ya CAG.
P
 
Back
Top Bottom