Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,519
- 5,426
Mchezaji anayeitumikia Azam ni mchezaji wa Simba SC it's just a matter of time.....
Kuanzia mchana nakuona umekomaa kweli kuandika "MIHAMARA".Wanawaza mihamara waliyomrushia Fei Toto
Tumekosa nn sasaNa nyie washabiki wengi wa Yanga ni wapumbavu sana
Mihamara au whatever the f**t it i,ebu nipe elimu unaiandikaje mkuu?Kuanzia mchana nakuona umekomaa kweli kuandika "MIHAMARA".
Sema na utopolo wenzako wakuelekeze kuandika.