Bila shaka yoyote, Hili ndio jina linalotamkwa na kuandikwa sana kwa kipindi kirefu na hususan kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Tz.
- Kwa jina hili hata gazeti la UHURU linauzwa sasa.
- Kwa jina hili wanaolitamka wanatamka kwa matumaini yao ya kesho.
- Kwa jina hili wapo walioingiwa na hofu ya ni ipi hatma yao baada ya october 2015.
- Jina hili linavuma kwa kishindo.
HONGERA UKAWA HAPA NI VUMBI TU!