Jina jipya la nchi yetu

bonem

JF-Expert Member
Apr 22, 2015
235
55
Ndugu wanajukwaa, leo ikiwa ni mwaka wa 52 wa Muungano wetu nina swali. Je muungano huu ungeanzishwa leo na kwa hali halisi ya nchi yetu, sifa zake, utamaduni, uongozi, tunu za taifa na utajiri tulionao, ungepewa jina gani?

Kwa kifupi, muungano huu uitwe jina gani?
Herini kwa sherehe ya Muungano
 
Jina la Tanzania lilipitia mchakato mrefu wa kushindanisha majina hadi tukapata jina hili. Nafikiri hata kipindi hiki, mchakato ungefanyika na majina yangeshindanishwa ili kulipata jina moja muafaka!
 
Back
Top Bottom