Jina herode

Jina herode

itula

Member
Joined
Apr 23, 2017
Posts
19
Reaction score
10
Mfalme herode...kwa nini wazazi wengi hawalitumii jina hili kuwaita watoto wao kama ilivyo majina mengine yaliyo katika biblia takatifu mfano mathayo, yuda, yohana , luka , samweli, yoshua, mussa, daudi, isaya , yusuph n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu huchagulia watoto wao majina kulingana na picha yaliyochorewa, tunaishi kwa kuaminishwa na baraka zipo katika majina yetu.... Kaini, Goliath, Shetani, Michibo, Osama hadi wakikua ndo wanajiita wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu nilisoma nae primary anaitwa Imani Herode
 
Mfalme herode...kwa nini wazazi wengi hawalitumii jina hili kuwaita watoto wao kama ilivyo majina mengine yaliyo katika biblia takatifu mfano mathayo, yuda, yohana , luka , samweli, yoshua, mussa, daudi, isaya , yusuph n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Herodi ilikuwa ni cheo siyo jina, ni sawasawa na mtu aitwe waziri mkuu au raisi, kuna mmoja alikuwa anaitwa Herodi Antipasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom