Wakati tukiwa kwenye unexpected mapumziko ya sikukuu ya mapinduzi "matukufu" ya Zanzibar leo Jumatatu 13/01/2014. Ninaleta kwenu a food for thought only to GTs ambao hamchukulii mambo for granted.
Wengi wetu tunafahamu Chama cha Mapinduzi (CCM) ni Muungano wa vyama viwili Tanganyika National Union (TANU) na Afro Shiraz Party (ASP).
Aidha wengi wetu kasoro akina Mulugo & Co. Tunafahamu kwamba Tanzania ni Muungano wa nchi wa mbili. Tanganyika na Zanzibar. Nchi hizi mbili zilipoungana, yakachukuliwa maneno TAN (from Tanganyika) na ZAN (from Zanzibar), lakini pia ili jina la nchi mpya litamukike vizuri yakaongezwa maneno IA. Ndipo basi takapata jina la nchi mpya inayoitwa TANZANIA. Kwa analogy hiyo tunaona jina la Tanzania lilivyopatikana.
Hivyo basi nilitegemea kwamba wakati vyama vya TANU na ASP vinaungana ingekuwepo formula inayoeleweka ya kupata jina la chama kipya. Mathalani kwa kutumia analogy ya TANZANIA basi nilitegemea labda TANU na ASP labda vingezaa chama kinachoitwa Tanganyika & Afro Shiraz Union Party (TASUP). Labda kama walitaka kukienzi kiswahili basi chama hicho kipya kingeweza kuitwa Chama cha Watanganyika na Waafro Shirazi (CCWWS).
Kitu ambachio ninaomba GTs mnisaidie je Jina la CCM limetokana na nini/wapi? Jina CCM limetoholewa kutoka wapi au na nini?. Nini hasa chimbuko la jina la CCM wakati tunafahamu CCM ni muungano wa TANU na ASP? Ni hasa maana ya CCM? Je, CCM ni jina jipya kabisa ambalo halina unasaba wowote na TANU na ASP, kitafasiri au hata kwa kutohoa?
Mwenye majibu ya maswali yangu, nitafurahi kwa ufafanunuzi.