elvee
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,110
- 1,631
JitaKabila gani hilo?
JitaKabila gani hilo?
Shaghalabaghala ndivyo ujiitavyo,halafu unaona ya wenzio ya kwako je!!?huna haya wala aibu wewe.ndio mnaocheka misibani badala ya kuhuzunika ama kulia.Mada tajwa hapo denchani inahusika
Kuna wakat unaeza kufkir mtu anajina la uani kumbe ndo jina lake la kweli toka amezaliwa, sisemi kina Gudume, Mtanzania kizabizabena n.k ambao wapo humu tuu bali jamii kiujumla
Kuna watu wamepewa majina mabaya na wazaz/walez wao mpaka wao wanajutia (Hii pia ni miongoni 7bu za kuanzishwa kwa nick names), wazazi/walezi/Jamii angalien sana mabalaa mengine mnayapanda wenyewe.. mfno majina kama tabu, chausiku, mkombamboga, maharage, konkii etc
Sababu za kuleta uzi huu, nimektana na jamaa anaitwa Fistula, na yeye yuko comfortable kabisa.. Je wew umekutana na lipi/weka na maana yake
[emoji117]"Shibumbu" [emoji40][emoji40]mahali panapoota PUBIC HAIR mtu akifikia PUBERTY AGE. na [emoji117]"CHUNYA" Kitendo cha kutoa kichwa cha dushe baada ya kuvuta soksi kwa mwanaume ambaye hajatailiwa.Mkuu naomba maana ya SHIBUMBU na CHUNYA kwa maana unayoijua wewe
[emoji30][emoji30][emoji30]
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Sipendi jina LA Mwifa ndo nn sasa
wambeya hao sijawahi ona!na hawatuliiSemeni Hatari
Nilisoma na Sijaona BwengoKuna wengine wanaitwa mbega.
Usishangae mbona weupe wapo kina Bush Kichaka, Moon..mwezi na Brown, nk. Wapo kina Masunga..
Maziwa_, Bujiku.. Usiku ,Nnauye ..Msirudi, nk
Tatizo la akili fupi hizi. Sasa unanibishia unauhakika gani.? Kwamba ntu hawezi kuitwa hivyo au.?Kawadanganye wazazi wako
Kawadanganye kina conte na hazardTatizo la akili fupi hizi. Sasa unanibishia unauhakika gani.? Kwamba ntu hawezi kuitwa hivyo au.?
Kawabishie ukoo wako