msimamia kucha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 769
- 642
Mimi ni mmoja wa wananchi wa jimbo la Mlalo-Lushoto ninaomba kuchukua nafasi kumkumbusha Mbunge wangu Hassan Ngwilizi (CCM), hadi sasa hakuna ahadi aliyoitimiza hata moja tangu uchaguzi wa mwaka 2010 uishe, yeye hukaa hapa Dar tu na Mkuzi ametusahau kabisa huku Mlalo.
Namuomba mheshimiwa atimize ahadi zote alizo tuahidi wana Mlalo, akumbuke imebaki miezi Mitano tu, asije akaanza kutafuta mchawi. Mlalo tuna utajiri mkubwa wa Madini,Matunda, n.k lakini bado tuko kwenye lindi la umasikini,na hii ni kutokana na tabia ya viongozi wetu kukimbilia Dar sisi wenyewe wananchi tukiachwa hoi.