Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
tarime kweli imekula kwenu, sikuamini nilipomsikiliza mbunge wenu kwa mara ya kwanza anakera na inaonekana ni mbumbumbu. Nililaani sana siku hiyo na sikuelewa ilikuwaje jamaa huyo alishinda. Nahisi mlikuwa na mvutano wa mambo ya koo ndo yaliyowaponza.
Wanatarime wenyewe walidanganywa kwa tshet,kanga,fulana na kofia pamoja na pesa ya mlo mmoja wakauza haki yao kwa miaka mitano! Acha wajifunze ili wasidanganywe tena!Kwa nature ya watu wa hapa tarime,hatukupaswa kuongozwa na magamba,tamaa za watu wachache zimetupotezea jimbo letu kwa miaka mi5,inaniuma sana hali hii hasa ninapoliona hili gamba walilolichagua linafanya madudu,rest in peace my brother CHACHA WANGWE,tutakukumbuka milele...Tarime is missing ur presence!
wanatarime hawana makosa,charles mwera ndo aliharibu mambo pale kwa tamaa zake za madaraka alvyosababisha mgawanyiko wa kura za upinzaniWanatarime wenyewe walidanganywa kwa tshet,kanga,fulana na kofia pamoja na pesa ya mlo mmoja wakauza haki yao kwa miaka mitano! Acha wajifunze ili wasidanganywe tena!
Kwa nature ya watu wa hapa tarime,hatukupaswa kuongozwa na magamba,tamaa za watu wachache zimetupotezea jimbo letu kwa miaka mi5,inaniuma sana hali hii hasa ninapoliona hili gamba walilolichagua linafanya madudu,rest in peace my brother CHACHA WANGWE,tutakukumbuka milele...Tarime is missing ur presence!