Jimbo la Songea lapata askofu mpya

Usinichokoze, Maana Nimekuwa Mhariri Wa Ngazi Kwa Miaka Minne Nikiwa Peramiho Major Seminary

Ukifotolewa picha na babu wa Kijerumani ili kuipamba Ngazi???basi watoto wa Amigu mpo wengi....
 

Tena huyu ndio Iringa haswaaa Dallu kazaliwa Kijiji cha Kiponzero,Parokia ya Ifunda...na ni Padri wa Jimbo la Iringa kupitia Parokia hiyo
 

Castor Msemwa na Norbert Mtega wanatoka jimbo la Njombe na sio iringa
 
Ina maana huyu mzee (Baba mtakatifu) anaendelea kuacha majimbo wazi tu? Tunahitaji uteuzi wa maaskofu wapya. Kuna majimbo mengi sasa hayana maaskofu tangu wale wa zamani walipofariki, kustaafu au kuhamishwa! mf: Shinyanga, Mpanda, Kigoma, Singida, na sasa Geita.
 
Naomba totauti ya jimbo kuu na jimbo la kawaida, madaraka na mipaka ya maaskofu husika. Mimi sio Mkatoliki, naomba kujuzwa.

Kama sio mkatoliki basi haina maana sana kujua ila inshort kuna majimbo makuu1.Dar 2.Arusha 3. Songea 4. Mwanza 5. Tabora nadhani kwa geographia tu utaelewa kwanini wameyagawa kwa mtindo huo.
 
Kwa nini jimbo la lringa linatoa maaskofu wengi nchini? Huyo Dallu wa lringa, Mtega nae wa lringa, kuna Chengula-Mbeya wa lringa.

Kuliko la Bukoba, ona hapa chini?

1: Askofu Laurean Rugambwa
2: Askofu Protase Rugambwa
3: Askofu Novatus Rugambwa
4: Nestory Timanywa,
5: Askofu Desideris Rwoma
6: Askofu Method Kilaini
7: Askofu Damian Kyaruzi
8: Almachisu Rweyongeza​
 
Huyu Askofu Norbert Mtea kuna jambo amelifanya na ndio maana amejiuzulu na kwa taharifa ni kuwa hayupo Tanzania yupo Ujeeumani na afya yake ni nzuri tu...
Hv hajarudi hadi leo!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…