Jimbo la Moshi Vijijini

Jimbo la Moshi Vijijini

Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
5,922
Reaction score
4,715
Unafiki wa u -kibosho na u- uru umezidi kulipasua jimbo la moshi vijijini hususani kwa upande wa upinzani hii ni kutokanana na kujitokeza kwa mtia nia kutokea kibosho kwa chama cha CHADEMA.

Hii imelivuruga jimbo huku wakibosho wakianza minongono ya iwapo watampitisha Lucy Ndesamburo au Antony Komu watawapa ushirikiano wa dhati Jancy au Cyril ambao ni CCM.

Hii ni kutokubaliana na kutokuwepo kwa demokrasia ndan ya CHADEMA hususani wakibosho kuzaraulika.
 
Duh hili jimbo ligawanywe wakibosho wamchague mbunge wao hivyohivyo uru
 
huyo chami mwenyewe ni kuchapia kiswahili tu sioni anachofanya hafai kuwa hata diwani
 
Komu kashagombea pale Mara mbili na kushindana Mara zote. Hii inaonyeaha hakubaliki. Lucy Owenya mwaka huu kajitosa, Mimi nadhani huyu ndio anafaa. Kwanza anaishi hapa hapa moshi, na kakijenga chama zaidi kwa kuwa muda mwingine yupo hapa. Komu yeye anaishi DSM na muda mwingine yupo pale ufipa.
 
Pamoja na komu kushidwa lakini tusi jidanganye kwamba mwanamke anaweza kushinda jimbo la moshi mjini pia mleta mada apunguze ubinafsi tafakari alicho andika kama uko sahihi
 
Komu kashagombea pale Mara mbili na kushindana Mara zote. Hii inaonyeaha hakubaliki. Lucy Owenya mwaka huu kajitosa, Mimi nadhani huyu ndio anafaa. Kwanza anaishi hapa hapa moshi, na kakijenga chama zaidi kwa kuwa muda mwingine yupo hapa. Komu yeye anaishi DSM na muda mwingine yupo pale ufipa.

Siasa za kwenye mitandao za ndani ya chama nikuonyesha kushidwa hoja unamwelekeza nani hum kwenye mitandao kwamba huyu anaishi kule na huku
 
mbona na wewe umeonyesha ubaguzi...

Mkuu ubaguzi wangu nikusema ukweli kwani kwajimbo la vijijini ususani kwa wachaga kuongozwa na mwana mke ni ndoto mkuu sibagui lakini kimjini mwanamke anaweza kushinda lakini propaganda za kisiasa kijijini zina wabana sana.
 
kama chami atagombea tena akutane na mtia nia Malisa Godlisten wa chadema kwa jinsi ninavomfaham c.c.m watapigwa goli la tobo,kijana yuko vizuri kisiasa na harakati toka enzi anasoma majengo,katibu mwenezi wa cdm na uraisi mt.Augustine mwanza,operation delete c.c.m nk
 
Last edited by a moderator:
Unafiki wa u -kibosho na u- uru umezidi kulipasua jimbo la moshi vijijini hususani kwa upande wa upinzani hii ni kutokanana na kujitokeza kwa mtia nia kutokea kibosho kwa chama cha chadema hii imelivuruga jimbo huku wakibosho wakianza minongono ya iwapo watampitisha lucy ndesamburo au antony komu watawapa ushirikiano wa dhati hancy au cyril ambao ni ccm hii ni kutokubaliana na kutokuwepo kwa demokrasia ndan ya chadema hususan wakibosho kuzaraulika
Hao wa CCM wao sio wa-kibosho au wa-uru?
 
Chadema wawe makini waangalie maeneo walikoshinda serekali za mitaa kwa kishindo hao ndio watoe mgombea. Hata hivyo Komu ana majukumu makubwa pale CDM awekwe mtu mwingine
 
aliyesema mwanamke atafua dafu ni kweli nakumbuka wakati Anna Komu anaeneza CDM iaka ya 90 watu walikuwa wanasema huyu mwanamke hana kazi ya kufanya ,kwanini hatulii nyumbani, sidhani kama wamebadilika. Wakibosho huwadharau wa-uru kwamba hawa hawawezi kutuongoza na wa-uru wanaona ni zamu yao kwa maana Chami anatoka Kibosho
 
Unafiki wa u -kibosho na u- uru umezidi kulipasua jimbo la moshi vijijini hususani kwa upande wa upinzani hii ni kutokanana na kujitokeza kwa mtia nia kutokea kibosho kwa chama cha CHADEMA.

Hii imelivuruga jimbo huku wakibosho wakianza minongono ya iwapo watampitisha Lucy Mdesamburo au Antony Komu watawapa ushirikiano wa dhati Jancy au Cyril ambao ni CCM.

Hii ni kutokubaliana na kutokuwepo kwa demokrasia ndan ya CHADEMA hususani wakibosho kuzaraulika.

tz tunapoelekea hapaleweki ukabila,udini,ukanda na uchafu kibao unaibuka chanzo ni kitu gani?
 
mbona na wewe umeonyesha ubaguzi...

Yaaani si ubaguzi watu wa uru hasa uru east tunahitaji barabara kutoka rau mpka juu kabisa msituni kwani huko kuna vivutio vingu sanaa. Mfano mnambe water falls na mrusunga water falls pia kuna maeneo ya kuvutia kitalii. Wanyama km kima wako hafi wale wenye rangi nyeupe na nyeusi. Sasa wakibisho wakiwa viongoxi mf mbunge huwa wanapasahau kabisaaaa sehemu hii.
 
Back
Top Bottom