haki na usawa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 485
- 138
Sio kosa lako inaonesha wewe ni muumini mzuri wa kuaminishwa!!!hapana ayo mawazo yako kwani kafanya mengi sana mazuri katika mazingira na jamii yetu kwa ujumla aswa jimbo hili la monduli kama ni fisadi n imana tumefisadi wote tatizo la ccm n mfumo tu hata uwe msafi utachafuliwa na wachafu wengi ndo wakati wangu hatua nimepiga na nitapiga mungu amenipa akila na uwezo wa kufikili na amini nilipo na ninaye mChagua ni sahihi kwangu hapa ndo sahii mabadiliko jambo la msingi sana kileta maendeleo..
Acha kutuletea propaganda hapa bhana! wewe mwenyewe unataka tuamini ulichotuandikia hapa, hakuna asiyeijua TZ, tupatie kura yako halafu baada ya miaka mitano rudi utuulize kama mabadiriko yapo au hamna. VIVA UKAWA.
Sio kosa lako inaonesha wewe ni muumini mzuri wa kuaminishwa!!!
Walianza kwa kumuita FISADI lakini leo wako naye wanashindwa kuzungumza neno UFISADI wanasema mfumo ili kuficha mtaji wa neo lao ambao naamini hata kushuka toka angani toka waanze kulizungumza katika majukwaa yao halijashuka!!!
Endelea kuaminishwa na ikifika miaka mitano utaambiwa haikuwa mfumo bali...............na wewe utawaelewa tu kwa vile ni muumini mzuri wa kuaminishwa na kwa ushauri wangu fikiria na sikiliza mwenye nia ya dhati!!!
Mimi nasema NO SITAKI MABADILIKO YA UONGO!!!
Mabadiliko ya kweli ndo yapi hayo..#
Ayo yote nimesha yafanya sitajutia wala jilaumu acha ipote tu kura yangu na amini kuwa nilipo ndio sehemu sahihi na kila sababu za kufanya mabadilikoUnatakiwa uwasikilize wote wanaongelea neno mabadiliko ndo utapata jibu lakini sio mabadiliko ya kuelekezwa kuwa huku ndo kwenye mabadiliko ya kweli!!! Angalia na sikiliza hoja za watu katika vijiwe, usiwe na hasira, usiwe na maamuzi kabla, usibishane na asiye taka kuulizwa, usilazimishwe kufuata mawazo ya mtu na mwisho chukua hatua kwa yale uloyasikia na wewe kutafakari maana kura yako ni maisha yako, amani yako, usalama wako na familia yako, epuka wenye hoja za jaziba maana utaisumbua familia yako au ndugu zako na hutapata jibu la badiliko la kweli!!!!
haki na usawa
Sawa tulimtuhum fisad ninyi kama watawala mlichukua hatua gan?
Mbona hamkumfunga kama kina mramba?
Au kisa alitolewa kafara kulinda chama chenu maana muhusika ni jk na serikali ingeanguka turud uchaguz upya?
shame on you