Jimbo la Monduli katika ubora wake

Jimbo la Monduli katika ubora wake

milito23

Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
87
Reaction score
15
Je, unafahamu nini kuhusu jimbo la Monduli? na mengi sana ya kuzungumzia ila leo tuzungumzie hili swala lililopo Monduli ni Jimbo la mgombea wetu Urais kwa tiketi ya CHADEMA uko upande wa UKAWA.

Ni Jimbo lenye Takribani wapiga kura 79 elfu, Jimbo hili lina kata 20 na vijiji visivyopungua 64 utaona jinsi ganI jimbo hili lilivyo. Unataka kujua kuhusu watu wa Monduli katika ubora wao, Unaweza kufikili kuwa CCM haipo Monduli hapa unaweza kufikili kuwa hakuna watu wenye mapenzi na chama tawala wapo kama sisi tuliokuwepo CHADEMA tangu na tangu hata kabla ya nguvu ya mabadiliko. Wimbi la mafuriko ila ulikuwa akuna uhuru wa kuzungumza ba kuiponda CCM kipindi iko ujasili utautoa wapi?

Je unamjua mtu ambaye muda mwingi umnyima Mh. Lowassa usingizi ni mtu moja wanamuita Sanaleeh, kama nitakuwa sijakosea jina lake ila atakumbuka pia kilichomkuta Sanalee katika kura za maoni ilikupata tiketi ya kugombea ubunge, anayejua hata twambia ila ukijua utafurai na kuamini siasa mchezo mchafu.

Mama aliniambia siasa si kama unavyoona kwenye vyombo vya habari na kusimuliwa ila ni mchezo mchafu sana ilifika mbali kusema kuwa hata kwenda kuwa kinyume na Mungu na kutokuwa na hofu ya Mungu lengo letu ni kujua.

Je, kuna CCM Monduli kama watu wanavyoamini kuwa mabadiliko yapo huku uhuru haukuwepo watu wapo hawana mapenzi ya kweli wala hawajui nini maana ya mabadiliko wana yumbishwa tu kwa kukosa elimu ya uelewa najua ya darasani tumefeli hata ya maisha ya mtaa kujua kizuli na kibaya jamii hii imelishwa unga wa ndele na pepo mchafu kawatembelea, hapa ila kuna wanafiki wengi sana na wasaliti ambao mwisho wapicha wanashuka njiani ila inaweza kuwa nimekosea mimi ila ndicho ninachojua UKAWA tazameni hili kwa macho mawili jimbo la Monduli kuna shida sana, Mwisho wa picha mtasema jimbo limeuzwa.

Unamjua mtu moja anaitwa Namelock mtoto aliyefundishwa siasa na mweshimiwa na watu wengi waliamini kuwa ndio mrithi wa jimbo hili na ni mtoto wa Hayati Moringe Sokoine ila mwisho wa picha kamsaliti mzee na kusimamia msimamo wake naweza nikamsifu kwa ujasili wake na ushupavu wake ila jambo ni moja tu kusahau fadhira alizofanyiwa kwani ilikuwa ni ngumu kukubalika haswa katika jamii yangu ya wamasai ila Mh. Lowassa alimwaminisha na wazee kumkubali tenda wema uende zako sasa hivi ana nguvu sana si wepesi kama tuanvyofikilia Mbunge wa CHADEMA Monduli bado anamapungufu mengi kama wanaomjua na wananchi wengi huzungumza ila mimi si mungu nimuhukumu mtu.

Monduli nguvu ya ziada itumike tusibwatuke na kuangalia mikoa mengine hapa ndipo tusi litakapo patikana na dhamira ya Goal la mkono kutimia ni aibu kupoteza jimbo aswa Monduli.

Kwanini nasema ana nguvu kwanza Namelock binti wa Moringe kuna mtu wanamwita Sanalee ndie mpambe mkuu na anamsahada mkubwa sana kwani ndie anayekubalika vijijini Monduli ni kubwa sio kata za mijini vijijini takribani kata kumi na mbili unategemea nini na vilevle chuki zao binafsi na mwingiliano wa kazi zinapelekea yeye kutojitoa na kubaki CCM na kuwapa nguvu wananchi wengine waliokuwa wakijificha kwa busara za mzee pamoja na hofu ila kuona mkombozi wao na mkombozi na kuamua kuwa uko kutoka na na maneno yake kwa watu na siasa zake chafu na amini kuwa katika majimbo Monduli CCM wanatolea macho sana pamoja na Arusha mjini ndugu siku kumi na 3 tusipoangalia tunaumiah CCM bado ina nguvu na watu wengi ni wanafiki wengine wamechoka kuyumbishwa kwani wanaambiwa hili kesho lile unatualalisha huyu kesho yule tunataka tusimamie misimamo yetu.

Picha tamu sana japo imaelekea kuisha kwa leo tuishie hapa ila tambua mtaji wa CCM ni watu wengi wa vijijini na tusikuowa na elimu.

Jiulize, Lowassa alifanya mkutano Simiyu, ila magufuli amefanya mkutano wa hazara wa ghafla tena wananchi wakiongozwa na Sanaleee pamoja na wazee wakamkabidhi na ku bless tupo pamoja mabadiliko kwanza mengine badaye wengine siju usozetu tutaziweka wapi siasa mchezo mchafu akuna rafiki wa kweli wala hadui wa kudumu kwani ukitaka kujua hilo muulize Sumaye.

Ujumbe wangu: Monduli tuache unafiki tumeamua mabadiliko yawe ya kweli!

Mungu bariki Tanzania, Mungu bariki Monduli.
 
Chato nilisikia stori tu sifahamu sana kuhusu hilo Christine
 
Last edited by a moderator:
Nachukia umasikini nataka watanzania wote wawe kama Mengi na Bakhressa.

kwa hilo ni ngumu ila lile gap litapungua kati ya masiki na tajili na uwakika wa milo yote na imani litakuwepo kwa kila mtanzania
 
kwa hilo ni ngumu ila lile gap litapungua kati ya masiki na tajili na uwakika wa milo yote na imani litakuwepo kwa kila mtanzania
Kamanda kwa hiyo wewe unaamini Lowassa akiwa rais wewe utakuwa tajiri kama Bakhressa au Mengi? Daah!!!
 
Bado una imani naye pamoja na kukuweka umesimama palepale miaka ishirini? Hata awe nani hawezi kukusaidia zaidi ya kukununulia nyama na pombe tu.

Chagua mgombea anayetaka kupambana na mafisadi kama alivyokuwa Moringe.
 
Bado una imani naye pamoja na kukuweka umesimama palepale miaka ishirin? Hata awe nani hawezi kukusaidia zaidi ya kukununulia nyama na pombe tu!!! Chagua mgombea anayetaka kupambana na mafisadi kama alivyokuwa Moringe!!!!

kwa sasa awapo Viongozi bora ila halie kuwepo na iman naye natumaini ataweza kunifikisha mahali japo patakiwa si mbali sana ila nitakiwa nimepiga hatua
 
Ritz

Usiniforce kuamini kaka kwani mengne ni ndoto tu, mabadilkko na mambo yote hayo huanza kwangu mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
milito23
Endelea kusubiri sisi twapiga hatua!!! Kama anasema anachukia umasikini na nyumba za nyasi toka awe mwakilishi wenu je amezitoa nyumba za nyasi jimboni kwake? Kama jimbo limemshinda ataweza nchi?

Je ataweza kuwachagulieni mtu wa kuwaletea maendeleo? Tafakari chukua hatua ya kupenda mabadiliko ya kweli na si mabadiliko ya kisanii ya kutoka kuitwa FISADI hadi kuwa mgombea urais waliyekuwa wakimtukana majukwaani.
 
Last edited by a moderator:
haki na usawa

Hapana ayo mawazo yako kwani kafanya mengi sana mazuri katika mazingira na jamii yetu kwa ujumla aswa jimbo hili la monduli kama ni fisadi ni imana tumefisadi wote tatizo la CCM ni mfumo tu hata uwe msafi utachafuliwa na wachafu wengi ndo wakati wangu hatua nimepiga na nitapiga mungu amenipa akila na uwezo wa kufikili na amini nilipo na ninaye mchagua ni sahihi kwangu hapa ndo sahii mabadiliko jambo la msingi sana kileta maendeleo.
 
Last edited by a moderator:
christine ibrahim
Chato vijiji 22 CCM ikaambulia viwili tu.

Kuna Dr LUKANIMA pale alikua Head of department ya accounting and finance Mzumbe university!!!! Huyu alihama ccm 2010.

Maguful hapatan kabisa na huyu kamanda na ndo anagombea ubunge Chato Tangu 2010 amezidi kuiua CCM chato mpaka mda huu chato ni ngome ya CHADEMA.

Jimbo linaondoka asubuhI na mapema na lukanima anakuja namabadiliko kiuchum na kijamii.

Maguful hatokaa amsahau lukanima kwa aibu atayo mletea tar 25 oct!!,!,
 
Last edited by a moderator:
REYRO

Hapo nazidi pata imani mapema kabisa tunaleta ushindi ila jimbo langu ushindi lazima sema tunaitaji ule wakishindo.... na imani kibwa sana na mji wa mbeya kule we acha tu kaka#
 
Last edited by a moderator:
Chato ile ya magufuli uko kwako....😄😂 watu bwana ila kuna maisha baada ya uchaguzi vyema piah tukijua hilo
 
Back
Top Bottom