Jimbo la Mikumi kukombolewa

Endelea kuweweseka tu
Ushahidi upo
Yeye mwenyewe n wakili
Sasa unasema huyo wakili anamlia hela
Hahaa
huku n kupanik

Tusiongee sana
Kesi iko mahakamani
tusubiri
na haki itatendeka.

Acha uboya wewe.tupeane ahadi akishindwa tukufanye nini.
 
Nlicheka nliposikia logic behind haya madai eti iweje ccm wapate madiwani wengi afu Jonas ashindwe sasa si zinahesabiwa kura? Inawezekana mahali aliposhinda Jay kuna wapigakura wengi kuliko kwa Jonas!!! Ruaha na Mikumi Jay alishinda kwa kura nyingi sana!! Jonas aangalie asije akapoteza hata salio alilobaki nalo
 
Huyu ni Nkya wa Lucy????????????? Yeye kabla ya kugombea alifanya kazi wapi? na mzazi wake naye alikuwa nani wakati huo,coz najaribu kuunganisha dots kulinganisha na Godfrey manake hawa watoto wa vibopa (kama ndiye) wana story behind tunazopaswa kuzisikia.
 
Huyu jamaa bado hajaacha tu usanii usanii wake Moro? Alikuwa mwalimu wangu wa A'level.

!
!
nani alikuwa mwalimu wa A level sasa kati ya hawa wawili........huyu mwingine hana ubavu wa kuwa mwalimu wa A level
 
Nkya ni wakili wa High court ana chamber yake pale mjini safi sana na vile vile alikuwa senior lecture wa law pale mzumbe akifundisha law.....

Waambie hao wasiojua

Wataumbuka sana baada ya kesi

Ccm oye
 

Usilolijua ni usiku wa giza
Naona bado uko gizan
 
uyo Mkya anapoteza hela tu .........Jay wa mitulinga ndo habari ya mikumi....muache jay alete maendeleo mikumi adhihirishe wasanii wa hip hop.wanaweza

"......nitaihamisha studio yangu ya mwanalizombe kutoka masaki kuja mikumi...nataka watu wote wa mikumi waimbe mziki.."
Joseph haule mikumi 2015

Wat a shame!!!


Kilio kikubwa kinakuja
 

Wewe ni kipofu na una mtindio wa ubongo
Huenda Wewe sio mtanzania
Na hauishi hapa Tanzania

Pole sana dada
 

At least unaonekana unataka kujifunza

Jonas e nkya
Ana masters ya sheria katika katiba na sheria za kimataifa

Amekuwa mwalimu(senior lecturer) wa sheria chuo kikuu mzumbe

Amekuwa mwenyekiti wa uvccm mkoa wa morogoro

Amekuwa mjumbe wa kamati ya siasa mkoa wa morogoro

Ni wakili wa mahakama kuu ya jamhuri ya muungano wa tanzania
 
kutafuta ubunge umetumia sana pesa kaka fanya mambo mengine kurudisha pesa zako maana watu wa mikumi uwaambihi kitu kusuhu jay na jay ndo raisi wa mikumi
 
Wewe ni kipofu na una mtindio wa ubongo
Huenda Wewe sio mtanzania
Na hauishi hapa Tanzania

Pole sana dada


Asante sana kwa matusi yako. Hunijui na sikujui. Naomba si lazima kwako kusoma maandishi yangu. Ukikuta jina la Mizambwa naomba pita bila kusoma nimeandika nini.


Sina muda wa kuongea na watoto ambao bado wananuka maziwa ya mama zao midomoni na bado wanavaa pumpers!!!!!!



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…