Huyu jamaa ni mkia wa mbuzi,kashindwa hata kutoa maji Nyamhongoro hadi Kisesa,huyu ni gamba,ila kushindwa kwake,cyo kushindwa kwa ccm,huyu jamaa ni moja ya wabunge wa ccm NISIOWAKUBALI kabisa.Utaratibu wa bunge ni kwamba,waziri na manaibu mawaziri hawaruhusiwi kuuliza maswali,sasa huyu jamaa siyo waziri wala naibu,ila toka avuliwe unaibu waziri wa fedha,huwa hachangii chochote,nata huwa simuoni,ukute hata bungeni huwa haendi
huyu ni mburura,jimbo this term ni kwa makamanda tu.Huyu jamaa ni mkia wa mbuzi,kashindwa hata kutoa maji Nyamhongoro hadi Kisesa,huyu ni gamba,ila kushindwa kwake,cyo kushindwa kwa ccm,huyu jamaa ni moja ya wabunge wa ccm NISIOWAKUBALI kabisa.Utaratibu wa bunge ni kwamba,waziri na manaibu mawaziri hawaruhusiwi kuuliza maswali,sasa huyu jamaa siyo waziri wala naibu,ila toka avuliwe unaibu waziri wa fedha,huwa hachangii chochote,nata huwa simuoni,ukute hata bungeni huwa haendi
Dr. ni janga la kitaifa, kiukweli sidhani kama anampango wa kugombea tena ubunge kwa jimbo la Magu, niliwahi kuuliza hapa JF kwa wanaMagu ni lipi la maana katufanyia mheshimiwa huyu? Mtoa uzi kaongelea ahadi za maeneo ya kwao na mheshimiwa kumbukeni kuna kata kama Yichobela, maeneo ya Lugeye,Kahangara na kwingineko pako hoi kabisa lakini ukiuliza vizee utashangaa na utaona Tanzania bado tuna safari ndefu! Nilikuwa kijiji cha Nyashimba siku moja nikawa naongea na babu yangu alichosema ni kwamba yeye na wazee wenzake hawana haja na maendeleo kwa sababu hata kama watatengeneza barabara au kuleta umeme havimsaidii bora mtu atakae wapa mche wa sabuni utamsaidia kwa wiki hata mbili ndo maendeleo kwake! Nilichoka na kuona kwa staili hii wabunge mburura wataendelea kushinda kama wana pesa. Ni jukumu letu wana Magu kulikataa hili na bahati nzuri kwa sasa vijana wapiga kura ni wengi zaidi ya wazee, hivyo basi ni jukumu letu kulikomboa jimbo la Magu kwa kujiandikisha kwa wingi na kujitokeza kupiga kura na kuhakikisha tunalinda kura zetu isijetokea kama uchaguzi ulopita!
Magu subirini T-shirt na kofia tuu...CCM inaonekana mnaipenda mno.....
atufai ata kidogo .kapita kwa kutumia pesa anajiamini atapita kwa kutumia pesa tena .tunamsubili itakula kwake.
Poleni sana wananchi wa Jimbo la Uchaguzi la Magu kwa kufanywa kichwa cha mwenda wazimu ambacho kila mtu hujifunzia kunyoa!!! Kalagabaho, mmeshaliwa hivyo, na ukiona manyoya ujue ameliwa. Hata hivyo kwa kuwa mmegundua kuwa mbunge wenu hana upendo na nyie basi mjipange vizuri mwaka 2015 mchague mbunge mzuri. Kwa ufupi mbunge mzuri ni yule ambaye kwanza kabisa ana upendo wa dhati na nchi yake, na pili awe na upenndo wa dhati na jimbo lake la uchaguzi, wapiga kura wake awatumikie na kuwaheshimu kwa kuwa ndio waajiri wake. Kwa wakati huu huyo mtu wenu, kulingana na hii discussion interest zake siyo nyie wapiga kura, yeye aliutaka uwaziri apate neema. Jipangeni mtafute mmbunge mwenye upendo nanyi kama alivyo Mhe Luhaga Mpina, mbunge wa Kisesa, mkoani Simiyu, Mhe Lugola wa Jimbo la Mwibara, wilaya ya Bunda; na Deo Filikunjombe, Mbunge wa Ludewa. Angalieni mchoro huu hapa chini mjifunze, Mbunge anatakiwa awe na ukakamavu ule ule wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi, lakini ukiisha uchaguzi akapoa mjue mmeliwa!!!
View attachment 93234
mama mdogo attachment haipo.