Jimbo la Kawe ni Moto wa Kuotea Mbali

Jimbo la Kawe ni Moto wa Kuotea Mbali

We we zako hazijawahi kukatika? Au umefunga zile za kinyamwezi?
Sasa nyie mnaavaje shanga mpaka Kubenea anajua?

Nasikia chupi hawakukuvua ulikuwa umevaa skin tight nzito na vitenge.

Teh teh teh!
 
Itabidi umdai hela ukanunue nyingine, zile alizoazima kwako maafande wamekata kuchukua
Shanga zako zilikuwa nzuri sana zile kubwa za kimasai zilivyokatika nakaona rangi zake za Chadema daah!! Ulikuwa unamvalia nani sasa pale bungeni?
 
Mimi napenda kulipongeza Jimbo la Kawe kwa mambo mbalimbali ya kimaendeleo
walivyojipanga baada ya Uchaguzi Mkuu 2015. Kuna madiwani wachapa kazi sana wakiongozwa na Mmbunge wao Rais wa Marais Kamanda Halima Mwana wa Professor James Mdee. Rais wa marais ameshazungukia kata mbalimbali za Jimbo la Kawe kwa mambo mawili (1) Kuwashukuru wapiga kura kwa kumchagua tena kwa kishindo lakini (2) kusikiliza kero za wananchi. Sasa kati ya kero ambazo alizisikiliza zimeanza kufanyiwa kazi na madiwani wa CHADEMA kwa maagizo yake. Pamoja na figisufigisu za kisiasa kwenye jimbo hilo lakini Rais wa Marais anapiga kazi usiku na mchana kuhakikisha ahadi alizozitoa kwenye kampeni anazitimiza 150%. Wote tuungane kumpongeza Rais wa Marais Kamanda Halima. Viva CHADEMA, Viva Kamanda Halima, Viva Madiwani wa UKAWA.
Rais wa marais...ha ha ha....rais my left foot
 
Shanga zako zilikuwa nzuri sana zile kubwa za kimasai zilivyokatika nakaona rangi zake za Chadema daah!! Ulikuwa unamvalia nani sasa pale bungeni?
Kwa hiyo baada ya kuzichukua hapo ulipo umezivaa?
 
Halima Mdee bado ajalitendea haki jimbo LA KAWE, sehemu kubwa maendeleo yanafanywa na wananchi wenyewe, hakuna cha Mbunge wala Diwani. Mfano Kata ya Wazo, Mtaa wa Madale mwenyekiti Mbelwa ameamasisha wananchi wamejenga kituo kikubwa cha Polisi ambacho kinaadhi ya kuwa kituo kikubwa cha wilaya, Mwenyekiti Wa mtaa wa Madale ameamasisha wananchi kujenga barabara za mtaa zaidi ya 70. Mbunge Halima Mdee anashindwa kusaidia kuweka lami toka wazo hadi Madale.
 
Angalau kubaki kwao ndani ya ukumbi kunaonyesha ni jinsi gani wanavyo waheshimu waliowapigia kura. Kumbuka kuwa mbunge mmoja analipwa mshahara ambao ni kodi yako wewe na mimi, jasho lako na langu. Kama jasho lako hulionei huruma, mimi la kwangu sitaki liendelee kuchezewa. Iwekwe sheria, mbunge anayesusa na kutoka nje, asipewe posho ya siku atakayofanya mgomo. Kwa ufupi posho itolewe jioni na ipatikane baada ya mbunge kuthibitisha ushiriki wake bungeni. Huko nje tunaoneka mapimbi fulani ambao hawana hata uwezo wa kujiendesha. Sikatai kuwa hata mabunge mengine kunakuwepo na kutokuridhishwa na maamuzi ya kisiasa, lakini sisi hapa Tanzania imekuwa too much. Tunaonekana wapuuzi, watu ambao hawawezi kufanya maamuzi ya busara.
Kwahiyo kubaki mule ndani na kukaa kimya au kushangilia Hoja mfu ndio Heshima ?? Ni bora anaetoka kwakua Sio mnafiki kuliko Mnafiki anaekaa mpaka wenyewe wanasema jamani tokeni tunafunga.. Shida yenu Pro Lumumba sijui mkoje, yaani ni Kama akili zenu zimefunikwa hivi... Hamuoni wala Hamsikii... Kuna jamaa yangu flani anamaisha magumu sana, tena sana halafu yeye ndio mwenyekiti wa mtaa wao, kwake kuna Kijani za kutosha.. Mmerogezewa Hizo rangi??
 
Kheri yenu nyinyi mliyekubali kununuliwa na yale mabaki ya richmond. Mmeuza utu wenu kwa vipande vya fedha!. Mnaishia kutafuta umaarufu kwa kutoka nje ya bunge, cheap politicians. Hoja mfu kama mbunge wako mbumbumbu mzungu wa reli, lakini kama anaelewa kilichompeleka bungeni ni nini hawezi kuwadharau wapiga kura wake kwa kususa na kutoka nje wakati vikao vikiwa vinaendelea. Viko vya kuhalalisha kwa hoja lakini sio upumbavu wa kutoka nje wakati rais wa nchi anataka kuhutubia.
 
Nimekuambia amefanya mambo mawili
1. Kushukuru wapiga kura
2. kusikiliza kero za wananchi na (b) yake Kero zimeanza kushughulikiwa na madiwani kwa maagizo ya Rais wa Marais.

Acheni kuwa wanahabari uchwara! Kama huwezi kuwasilisha kilichotokea ni bora kukaa kimya !
Porojo kama za watoto wa Lumumba haijengi kazi nzuri inayofanywa na wabunge kama Mhe.Mdee.
Umeshindwa hata kutaja hizo kero?

Cc Halima Mdee
 
Kheri yenu nyinyi mliyekubali kununuliwa na yale mabaki ya richmond. Mmeuza utu wenu kwa vipande vya fedha!. Mnaishia kutafuta umaarufu kwa kutoka nje ya bunge, cheap politicians. Hoja mfu kama mbunge wako mbumbumbu mzungu wa reli, lakini kama anaelewa kilichompeleka bungeni ni nini hawezi kuwadharau wapiga kura wake kwa kususa na kutoka nje wakati vikao vikiwa vinaendelea. Viko vya kuhalalisha kwa hoja lakini sio upumbavu wa kutoka nje wakati rais wa nchi anataka kuhutubia.

Kama huelewi mantiki ya wabunge waupinzi kutoka nje ni heri jikalie kimya kuliko ukajidhalilisha kujenga hoja mfu!.
Elezea cha maana wanachokisimamia au kukitetea kwa masilahi ya Nchi wale wa kwemu wa ndiyooooooooooooooo !

Jiangalieni tu mfano mdogo-kweli Mtu kama A.Chenge mnadiriki kumpitisha kuwa Mwenyekiti wa Vikao vya Bunge?
Kweli ? . Ni uchafu gani wa kifisadi A.Chenge hajashiriki alafu kupitia Hapa Kazi tu bado wabunge wa CCM mnampitisha kuwa Mwenyekiti wa Vikao vya Bunge -ni madharau au akili maji ya kiasi gani?
 
Unamzungumzia Chenge kwa kashfa ya escrow, vipi kuhusiana na Lowassa ambaye ni waziri mkuu pekee katika historia ya Tanzania kuwahi kufukuzwa kazi?. Lakini mkaja kupokea makapi. Mnapotoka nje kila mara mnajidhalilisha na mnaidhalilisha nchi pia, wote tunaonekana mapimbi wakati sio kweli. Wale wabunge wetu wanafanya mengi sana ndio maana wanabakia kuwa majority kila uchaguzi unapomalizika na wa kwenu wanabakia kuwa minority. Tabia za mtaani za kina Halima Mdee kupiga makelele kama mtoto wa darasa la pili, kwako wewe ni za kistaarabu tena hazifai kukemewa!.
 
Mimi napenda kulipongeza Jimbo la Kawe kwa mambo mbalimbali ya kimaendeleo
walivyojipanga baada ya Uchaguzi Mkuu 2015. Kuna madiwani wachapa kazi sana wakiongozwa na Mmbunge wao Rais wa Marais Kamanda Halima Mwana wa Professor James Mdee. Rais wa marais ameshazungukia kata mbalimbali za Jimbo la Kawe kwa mambo mawili (1) Kuwashukuru wapiga kura kwa kumchagua tena kwa kishindo lakini (2) kusikiliza kero za wananchi. Sasa kati ya kero ambazo alizisikiliza zimeanza kufanyiwa kazi na madiwani wa CHADEMA kwa maagizo yake. Pamoja na figisufigisu za kisiasa kwenye jimbo hilo lakini Rais wa Marais anapiga kazi usiku na mchana kuhakikisha ahadi alizozitoa kwenye kampeni anazitimiza 150%. Wote tuungane kumpongeza Rais wa Marais Kamanda Halima. Viva CHADEMA, Viva Kamanda Halima, Viva Madiwani wa UKAWA.
Huyo rais wa kawe anamkubali sana Magufuli.
 
Wale wabunge wetu wanafanya mengi sana ndio maana wanabakia kuwa majority kila uchaguzi unapomalizika na wa kwenu wanabakia kuwa minority

Kwa staili ya akina Jecha lazima waendelee kuwa Majority! Vipi mko tayari kuwa na tume huru ya Uchaguzi?
 
Kwa staili ya akina Jecha lazima waendelee kuwa Majority! Vipi mko tayari kuwa na tume huru ya Uchaguzi?
Tuko tayari muda wote, tunao watu wengi wenye hekima, busara na uwezo wa kufanya kazi. Nyinyi kwa wabunge wenu kama yule anayezungumzia shanga za kinadada bungeni kama vile yupo bar na marafiki zake mnajiamini kweli kuwa mnaweza kupewa nchi hata kama tume huru itaundwa kesho asubuhi?. Kwa akili zile za kupiga makelele bungeni mnajiona kweli kwamba mmeshakomaa kupewa nchi?. Bado sana mnahitaji kukua kiakili, kimaadili, kifikra, kimtazamo ili muweze kujiweka katika kundi la wanaofaa kuongoza nchi.
 
Back
Top Bottom