Jimbo la Kawe mwaka huu ushindani mkali sana

Jimbo la Kawe mwaka huu ushindani mkali sana

Kusema kweli ingawa sifahamu jimbo gani anagombea Dr fulani niliyemwona jana kwenye mdahalo wa MKIKIMKIKI wa ADC, lakini ktk kujieleza anaonekana anafahamu mambo mengi sana!

Huyo jamaa amesoma na amejariwa kipaji cha kujenga hoja
 
..haiwezekani kuchagua sijui mtoto wa w/mkuu wa zamani wala nani,hii nchi ina wenyewe na wenyewe ndio sisi wananchi.
Mpe kura Mdee tuzifutilie mbali tabia zaki chifu zinazoanza kuchomoza.
#mdee2015-2020#
 
Back
Top Bottom