Baija Bolobi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 1,093
- 1,737
=========good analysis; ila mzee angalia kama huyo kijana ana resources watu wa kutosha na how are the ccm guys serious; labda wanakudananya
=====Huyo hakimu ataamrishwa kumuona hana hatia. Nani kasema mahakama zetu ni huru? Ikiwa Appeals Court iliagizwa kutupilia mbali kesi ya mgombea binafsi, itakuwa hakimu huyu wa lower court?
Hata jimbo la Mbulu linaweza kwenda chadema kwani Filip Marmo ametumia uwizi wa kura kushinda katika kura za maoni. wanaccm mbulu wameapizana kukipigia Chadema kura tarehe 31 OCTOBER mwaka huu.
Could any honourable member update me on the election situation in NGARA
Nasikia katika electons za huko ngara,somebody samuel ruhuza naye anagombania,huyu wasifu wake ni nini?Wamempitisha yule Mnyarwanda Ntukamazina. Jimbo hilo likipata mgombea serious wa upinzani linakwenda kwao maana mgombea wa CCM pamoja na kuwa na uraia wa nchi mbili, ameisha choka na wala hakuwahi kufanya kitu chochote alipokuwa Katbu mkuu wa utumishi. yeye aliwasaidia Wanyarwanda wengi kuingia ktk utumishi wa umma na kuwasaidia RPF kwenye harakati zao za kukomboa Rwamda
=======Acha Bw. Baija, binafsi naona baada ya yule Kijana Mwarabu kushindwa katika mkakati wake Blandes atapenya kiurahisi kama ilivyokuwa 2005
Acha Bw. Baija, binafsi naona baada ya yule Kijana Mwarabu kushindwa katika mkakati wake Blandes atapenya kiurahisi kama ilivyokuwa 2005
=======
Omutwale
Hivi ninavyoongea nipo Kayanga bomani, na viongozi wa CCM wanasema hawataenda kwenye kampeini kwa sababu walimkataa Blandes lakini NEC imemrudisha. Kambi ya yule mwarabu, yote imehamia Chadema. Blandes ana tumaini moja tu, la kutumia fedha za Sir George ambaye anatafuta kumleta mtoto wake Joseph mwaka 2015.