Jimbo la buyungu kakonko kigoma

Jimbo la buyungu kakonko kigoma

rfa

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
105
Reaction score
38
Baada ya ZZK kufukuzwa cdm na kwenda ACT, Leo kakonko watakuwa na mkutano mkubwa wa cdm ambapo watazungumzia yafuatayo; 1;kushukuru wapiga kuwa kwa kuwapatia viti 25 vya cmd kati ya 39 ktk serikal za mitaa. 2. kushukuru uongoz wa chama ngaz ya taifa kutekereza mawazo ya nguvu ya uma kwa kuwaondoa wasalti eg.mwigamba arusha prof kitila singida na zzk kigoma. 3. kujenga ushirikiano ili kuhakikisha mwez wa 10 tunachukua dola.4 kila mwana cdm ahakikie anaongeza wanachama wapya 10.mpaka kufikia mweziwa 6. Pia kuhakikisha kuwa kigoma ningome kuu cha upinzan through cdm na hasa wilaya ya kakonko, baada ya kufukuza watu wanao jifanya miungu mtu kwamba bila wao chama kitakufa 5.kuhakikisha msalti anatoka ktk chama bila kujali jina lake. B'se of usalt kigoma tumekuwa na mbunge 1 kati ya 8 eg ZZK aliwashawish wakina mkosamali na machal ili waihame cdm na yeye aendelee kuwa mbunge pekee wa cdm kutoka kg. Mwisho tushirikiane ktk kuhakikisha mwezi wa 10 tunachukua dola. PEOPLE POWER! nitaarifa tu nawasilisha
 
Back
Top Bottom